Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,078
- 7,422
Sasa ushauri wako unadhani nani anauskia huko london, upo bize unajiongelesha tu mwenyeweWakuu hivi kwa kiwango cha sasa cha Kante mnahisi anaweza aka maintain kwa misimu mingapi mbele? Naona kadri anavyozidi kwenda kiwango kinazidi kushuka tu. Kwa nini Marina asimuuze then tuka raise funds kwa ajili ya Declan Rice.
Kante huyu wa sasa siyo yule wa msimu wa 15/16-17/18 wapo PSG, Inter wanahitaji sana huduma yake. Sisi tunaenda kuchukua damu yetu ya blue halisi kabisa Declan Rice katika ubora wake.





