Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,025
- 27,365
Nilimjibu aliyehoji Silva kupewa u captainCaptain ni kiongozi, lazima uwe na ushawishi na kuwaweka wenzako pamoja, kuwawekewa mentality ya kushinda. Ndio maana Silva kwa mechi yake ya kwanza akapewa ukapteni ndugu kwa sababu hizo sifa anazo