Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Kwan ni usajiri mpya?Tupe na takwimu za comrade kipepe baada ya game 3


Mpaka aje awazabue kama alivyowafanya man u ndio mtakuwa na adabu
Kwan ni usajiri mpya?Tupe na takwimu za comrade kipepe baada ya game 3


Nakubaliana nawe asilimia mia, Odoi asiachiwe tutakuja juta sanaOdoi anaweza kuaminika kwa sababu bado ni dogo mdogo akipata mtu mzuri wa kumfanyia cancelling atakaa vizuri tu. Hebu jiulize mwenyewe mchezaji mdogo anapata mshahara mkubwa, bado kuna offer kutika Bayern na PSG zinamfuata unategemea huyo kiakili atakua sawa?
Odoi bado hajatulia tu anaweza kuwa kama kina Sterling, Sancho na wengine wengi.
Tunatumia nguvu nyingi kuwajibu watu ambao hata backgraound zao hatuzijui, kama wako sawa, wewe uanenda kisomi sana wao hata ngumbaru haipo. Puuzia ndio jibu rahisiWewe jamaa hebu uwe unasoma hata mara mbili halafu tumia walau nusu dakika utafakari unachoelekea kuandika.
Amesema Chelsea ya msimu uliopita ilikua haiwezi kufanya comeback kama itakuwa nyuma kwa tofauti ya hata goli 2. Tulifungwa na Sheffield 3 tukashindwa kupata hata goli moja, tulifungwa na Newcastle, Westham lakini mpira tuliocheza haukua na matumaini yoyote. Amekwambia atleast anaona improvement tuko nyuma lakini unaona kuna kitu kinafanyika mpaka kufanikiwa kupata sare, tumefungwa na Liver lakini unaona kabisa kuna kitu kinafanyika japokuwa uwanjani kulikua na mtumishi hewa Keppa,
Wewe unakimbilia kusema tunafurahia draw.. SMH!!
According to assnal fan wachezaji wanaotakiwa kufunga ni sajiri mpya pekeeKwan ni usajiri mpya?
Mpaka aje awazabue kama alivyowafanya man u ndio mtakuwa na adabu
Rudigar anapaswa kubakiNaomba Mungu hiyo consistency ikae kuanzia jana. Akiwa Consistent, Odoi ni zinga la wide winger, itaifanya Chelsea kuwa na wachezaji wa kutumainiwa hata kwenye benchi
Tuanze n mid ya mount,kai na kanteCrystal Palace nilikua nacheki game yao na Everton jana asee jamaa wanatumia nguvu sana kutafuta magoli. Sasa timu kama hizo zikikutana na high pressing ni rahisi kula magoli mengi sana. Sijui kama tutaweza kufanya pressing kwa kutokua na midfield inayoeleweka.
Tarehe 3 October Ziyech na Pulisic watakuwa wamerudi ila sijui kama watakuwa fitTuanze n mid ya mount,kai na kante
Au tuanze na mid ya kova,kante
Game za cp inamuhitaj mtu anayeweza kupunguza wachezaj huku anaingia ndani like pulisic
Nimekupata mkuuTunatumia nguvu nyingi kuwajibu watu ambao hata backgraound zao hatuzijui, kama wako sawa, wewe uanenda kisomi sana wao hata ngumbaru haipo. Puuzia ndio jibu rahisi
Sub yake ndio imetoa assist ya goli la kwanza.Angekuwa Alonso bado anacheza goli la kwanza lisingepatikana
Kama hatutakua na Pulisic unadhani itakuaje hapo? Lazima atacheza Kovacic kukata atleast asaidie kuua mawasiliano yao katikati.Tuanze n mid ya mount,kai na kante
Au tuanze na mid ya kova,kante
Game za cp inamuhitaj mtu anayeweza kupunguza wachezaj huku anaingia ndani like pulisic
CHO aanzie RW halaf Werner aanzie LW,Kama hatutakua na Pulisic unadhani itakuaje hapo? Lazima atacheza Kovacic kukata atleast asaidie kuua mawasiliano yao katikati.





Eti tulivyopigwa!Timo ni suala la Muda. Kwani mlivyopigwa na Leeds mlihaha vip kurudisha? Bila penati mbili zile mngeshinda?

kumbe hata mechi hujatazama. Walikuwa wanachomekwa kisha wao ndo wanachomoa. Sio nyie lengo linahama toka kwenye ushindi mpaka draw.Wewe bado hujajifunza huko korokoroni ulikoswekwåTunatumia nguvu nyingi kuwajibu watu ambao hata backgraound zao hatuzijui, kama wako sawa, wewe uanenda kisomi sana wao hata ngumbaru haipo. Puuzia ndio jibu rahisi
,.



.
Na wewe takataka ya cheltako ungetokomea shimoni wiki nzimaTungepigwa jana matakataka ya Arse8 yangejazana huku wiki nzima.
Maana jukwaa Leo limeamia huku siku hizi.