Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nyie mashabiki wa Chelsea chambuzi zenu sijui huwa mnazitolea wapi.

Tatizo mnapenda kujipa moyo. Ngoja nimwage ukweli wote hapa ambao huenda nyie hamuujui au hamtaki kuusema au hampendi kuusikia.

1. Until now, Kai Harvertz is not convincing! Hashawishi kabisa..

So far nimeona improvement kidogo sana kutoka kwake. Na hiyo inaonekana anapocheza na timu ndogo kama West Brom. Usitegemee kumuona akicheza na timu kama Everton au Wolves akaperform, hapo sijawataja Man City na Liverpool.

Kwanza anacheza kama demu.. Hakai na mpira, hii inaonyesha ni namna gani uwezo wake ulivyokuwa mdogo.
Kwa pesa aliyonunuliwa na nafasi anayocheza ni tofauti kabisa na uwezo wake, ana uwezo mdogo. Yani hawezi hata kupunguza mtu mmoja..
Halafu bado kuna mashabiki maandazi wanamtetea.

Nasema tena, pale kwa Havertz MMEPIGWA!

2. Kuhusu Werner niko tofauti na watu wanaomponda.. Kwa upande nategemea Werner atazoea ligi katika kipindi kifupi kuliko sajili zengine mpya.

3. Huyu Lampard ni chizi sana.. Kulikuwa na haja gani ya kumpa kitambaa cha unahodha T. Silva wakati vice captain Ng'olo Kante yupo?
Mwambieni aache kuiga mambo, ile sio PSG.
Msambaa wa watu hata English hajaijua vizuri halafu game yake ya kwanza umpe unahodha.. Inaingia akilini kweli?

4. Niliwahi kusema Mount ni bora kuliko Kai.. Hilo halibadiliki!

5. Ile sehemu ya kipa mnakazi sana kuitafutia mbadala.

Bado Chelsea ni ile ile pamoja na usajili wote.

Najua wengine itawauma kwa sababu ukweli siku zote unauma!
Yan we jamaa ni kituko sana. Unaponda comments za wenzako halafu mwisho unasema ukweli unauma. Ukipingwa unasema mashabiki maandazi, man up bro.

Kama wewe unamuona Kai kama demu na mwanzo mlianza kumponda saiv ameanza ku improve bado hampoi mnaanza kusema ni wa timu ndogo mpk mnashangaza na ndio maana halisi ya shabiki maandazi kwa sababu unaishi kwenye ule msemo wa adui muombee njaa kwa hiyo ni unaponda tu.

Halafu vice captain siyo Kante ni Jorginho. Pia captain siyo mpaka uwe umekaa kwenye timu kwa muda mrefu. Nakupa H/W kasome criteria za kuwa captain usituletee umaandazi hapa.
 
Ndio umeandika nini sasa!
 
Individual error inabid tuzipunguze tukiendelea kuzifanya hata mendy hawezi kutuokoa

Kai kadri siku zinavyozidi kwenda anaonesha mabadiliko leo.
Leo ndio alikuwa creator wetu tu

Timo inabidi atulie asiwe na haraka

Alonso nahisi hii ndio mechi yako ya mwisho kuanza
RJ bado anasafari ndefu ni mzuri kwenye kushambulia ila defensively ni mbovu

Trust the process
Hivi Kepa na Alonso huwa wanabugia dadi na chang'aa kabla ya kuingia uwanjani nini?
The guys are always not serious
 
Werner woke up feeling dangerous

0 Goals
0 Assists
0 Key passes
2 Shots on target
0/2 Successful dribbles
Ni jambo la kawaida sana kwa forwards kupitia hizo hali, kipindi kama hiki kilishawahi kumpataga Binga wa dunia CR 7 akiwa Real Madrid, tena yeye ilimtokea kwa mechi zaidi ya 5 mfululizo za La Liga. Timo Werner ni nani hasa hadi isimtokee? So kuweni wapole Arsenal Fans maana muda ni mwalimu sahihi kabisa.
 
Makosa ya lamps leo yalikuwa yapi???

Kosa nililoliona mimi ni kutokuwepo kwa Chilwel tu ila mengine sisi wenyewe mashabiki smtime huwa tunapenda Rj aanze badala ya Azp

Mida ya jioni ilitumwa kama predicted line up
Ambao waliokosa alikuwa ni zouma na chilwel

Mengine wechazaj ndio wanaofanya makosa
Alonso goal la kwanza kichwa anachopiga anampigia adui

Tupe makosa ya lamps uliyoyaona??
Chilwell na Azpi, mimi naonelea Azpi apewe nafasi zaidi ya Reece james huyu reece kinachombeba ni kwenda mbele na kupiga krosi nzuri otherwise naye sio mzuri nyuma kama Azpi
 
Yan we jamaa ni kituko sana. Unaponda comments za wenzako halafu mwisho unasema ukweli unauma. Ukipingwa unasema mashabiki maandazi, man up bro.

Kama wewe unamuona Kai kama demu na mwanzo mlianza kumponda saiv ameanza ku improve bado hampoi mnaanza kusema ni wa timu ndogo mpk mnashangaza na ndio maana halisi ya shabiki maandazi kwa sababu unaishi kwenye ule msemo wa adui muombee njaa kwa hiyo ni unaponda tu.

Halafu vice captain siyo Kante ni Jorginho. Pia captain siyo mpaka uwe umekaa kwenye timu kwa muda mrefu. Nakupa H/W kasome criteria za kuwa captain usituletee umaandazi hapa.
Captain ni kiongozi, lazima uwe na ushawishi na kuwaweka wenzako pamoja, kuwawekewa mentality ya kushinda. Ndio maana Silva kwa mechi yake ya kwanza akapewa ukapteni ndugu kwa sababu hizo sifa anazo
 
Kama unamuelewa Lampard ebu niambieni ni formation ipi iliyotumika katika mechi na West Brom
Lampard ni Sarri Masigara aliyechangamka tu, naona hata top 4 tuliingia sababu ya juhudi za wachezaji wenyewe na hat timu zilizokuwa nyuma yake hazikuwa na ushindani mkubwa sana.

Kijumla Lampard hajui kabisa ni kipi anachokitaka katika ukocha wake kwa Chelsea FC, mashabiki tujiandae kisaikolojia kuvumilia maumivu maali sana mwaka huu.
 
Ni jambo la kawaida sana kwa forwards kupitia hizo hali, kipindi kama hiki kilishawahi kumpataga Binga wa dunia CR 7 akiwa Real Madrid, tena yeye ilimtokea kwa mechi zaidi ya 5 mfululizo za La Liga. Timo Werner ni nani hasa hadi isimtokee? So kuweni wapole Arsenal Fans maana muda ni mwalimu sahihi kabisa.
Hivi wao timu yao haina la kujadili, mbona wako very very much concerned about Chelsea? Au ndio wana mahaba yale ya siri na Chelsea ila hawataki kukiri hadharani!
 
CHO jana ndio mkombozi, kaingia kafanya mpira uchangamke, kuanzia sasa CHO namkubali kwenye first team, Lampard aangalie tu namna ya kuchanga hizo karata zake
 
Hivi wao timu yao haina la kujadili, mbona wako very very much concerned about Chelsea? Au ndio wana mahaba yale ya siri na Chelsea ila hawataki kukiri hadharani!
Mi siwaelewi kabisa hao mashabiki ywa Arsenal, cha ajabu mwaka huu wamejazana sana kwenye uzi wa Chelsea kuliko hata mashabiki wa timu zingine.

Si vibaya ikiwa watakuja humu kwa nidhamu kujadili mapungufu yetu lakini waige mfano wa kuwa na heshima kama Mr Don Clleruzio.
 
Nyie mashabiki wa Chelsea chambuzi zenu sijui huwa mnazitolea wapi.

Tatizo mnapenda kujipa moyo. Ngoja nimwage ukweli wote hapa ambao huenda nyie hamuujui au hamtaki kuusema au hampendi kuusikia.

1. Until now, Kai Harvertz is not convincing! Hashawishi kabisa..

So far nimeona improvement kidogo sana kutoka kwake. Na hiyo inaonekana anapocheza na timu ndogo kama West Brom. Usitegemee kumuona akicheza na timu kama Everton au Wolves akaperform, hapo sijawataja Man City na Liverpool.

Kwanza anacheza kama demu.. Hakai na mpira, hii inaonyesha ni namna gani uwezo wake ulivyokuwa mdogo.
Kwa pesa aliyonunuliwa na nafasi anayocheza ni tofauti kabisa na uwezo wake, ana uwezo mdogo. Yani hawezi hata kupunguza mtu mmoja..
Halafu bado kuna mashabiki maandazi wanamtetea.

Nasema tena, pale kwa Havertz MMEPIGWA!

2. Kuhusu Werner niko tofauti na watu wanaomponda.. Kwa upande nategemea Werner atazoea ligi katika kipindi kifupi kuliko sajili zengine mpya.

3. Huyu Lampard ni chizi sana.. Kulikuwa na haja gani ya kumpa kitambaa cha unahodha T. Silva wakati vice captain Ng'olo Kante yupo?
Mwambieni aache kuiga mambo, ile sio PSG.
Msambaa wa watu hata English hajaijua vizuri halafu game yake ya kwanza umpe unahodha.. Inaingia akilini kweli?

4. Niliwahi kusema Mount ni bora kuliko Kai.. Hilo halibadiliki!

5. Ile sehemu ya kipa mnakazi sana kuitafutia mbadala.

Bado Chelsea ni ile ile pamoja na usajili wote.

Najua wengine itawauma kwa sababu ukweli siku zote unauma!
Wewe sasa unaleta ushabiki tu na ushubwada..... Narudia tena KAI atawaprove wrong ni suala LA muda ...ukiiangalia takwimu zake Leo huwezi zifananisha na z game iliyopita ya ligi ...mtaendelea kukubali hvyo hvyo km mwenzenu mmoja
 
Yan we jamaa ni kituko sana. Unaponda comments za wenzako halafu mwisho unasema ukweli unauma. Ukipingwa unasema mashabiki maandazi, man up bro.

Kama wewe unamuona Kai kama demu na mwanzo mlianza kumponda saiv ameanza ku improve bado hampoi mnaanza kusema ni wa timu ndogo mpk mnashangaza na ndio maana halisi ya shabiki maandazi kwa sababu unaishi kwenye ule msemo wa adui muombee njaa kwa hiyo ni unaponda tu.

Halafu vice captain siyo Kante ni Jorginho. Pia captain siyo mpaka uwe umekaa kwenye timu kwa muda mrefu. Nakupa H/W kasome criteria za kuwa captain usituletee umaandazi hapa.
Jamaa anachekesha kweli ni kituko haswaa
 
Hivi ni Lampard na Ole tu ndio walioadhirika na kukosekana kwa preseason? Mbona kila baada ya mechi wanaimba huo wimbo, Everton wao walikuwa na preseason ya kutosha?, Arsenal je?

Angalia majibu ya Lampard baada ya timu kucheza vibaya hasa kwenye individual errors

Mistakes a product of blending team together?
It's hard to pinpoint that. They are what they are today. We haven't had much time to work. Not had a pre-season to work or bed in new ideas. It takes a bit of time. Not sure it's directly related to the goals. Parts of it are just fundamentals.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom