Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wana chelsea wenzangu mambo huku yanaendeleaje?
Nilipigwa natumikia ban ya siku 7, ndo nimetoka gerezani sasa
Ninaahidi sitamtukana mtu tena ila nitakuwa nikibonyeza kitufe cha Report chenye icon ya kengele kushoto kwako chini ya post yenye matusi. Kwa kufanya hivi ninawasaidia Mods wang'amue posts zenye matusi na hivyo kuweza kuwaadhibu wanaotukana
Naombeni kwa umoja wetu tufanye hivyo hivyo, sio tu matusi hata kwa hao wanaotuma spam kwenye uzi
NAWASILISHA
Pole sana, naamini huko jela ulikokuwa kuna mengi uliyojifunza,
Utakuwa raia mwema sasa...
Karibu tena
 
Wana chelsea wenzangu mambo huku yanaendeleaje?
Nilipigwa natumikia ban ya siku 7, ndo nimetoka gerezani sasa
Ninaahidi sitamtukana mtu tena ila nitakuwa nikibonyeza kitufe cha Report chenye icon ya kengele kushoto kwako chini ya post yenye matusi. Kwa kufanya hivi ninawasaidia Mods wang'amue posts zenye matusi na hivyo kuweza kuwaadhibu wanaotukana
Naombeni kwa umoja wetu tufanye hivyo hivyo, sio tu matusi hata kwa hao wanaotuma spam kwenye uzi
NAWASILISHA

Daaa pole sana mwamba karibu tena darajani
 
Tatizo lenu nyie mkijibiwa mnasema tunapiga kelele. Kwa hiyo nyie muongee sisi tukae kimya?

Tunajitathmini baada ya timu yetu kucheza jana nyie mnakuja mnaponda, mmemsema Havertz tumepigwa jana kapiga Hat trick mnasema magoli mepesi mara mmecheza na timu mbovu. Sasa mnataka afanye nini? Hamjui kwamba kila kitu ni hatua kwa kucheza mechi ya jana kunazidi kumuongezea confidence.

Sasa mnachotaka ni sisi tukae kimya tusiwajibu siyo?
Suala sio kukaa kimya.
Ukweli wanaumia sana kuona Chelsea ilivosimama msimu huu.
Pulisic, T.wener,chilwell,Barkley,havertz,Tiago,kante
the blues full burdani
 
Mkuu kwa hiyo kwa kumaliza unasema Kai ni mchezaji wa kawaida kabisa kama kina Nelson na Saka au hata humo haingii?
Kamuacha Nelson. Saka anacurve career yake vizuri, tuzo na mafanikio personal vinambeba. So hajaachwa kwa umbali mkubwa kama Nelso.

Kiwango chake ulichokiona kwa Brighton na Liva kinahalalisha ile price tag?
 
Yes kinahalalisha kabisa. Kai ameshika namba 4 katika wachezaji waliohusika na magoli ndani ya mwaka 2020. Yan ukimtoa Lewandowski, Messi na Ronaldo anafuatia Kai Havertz.

Huyu dogo ni mchezaji mzuri sana sema engi price tag yake ndio inawapa wenge wakihisi hastahili kitu ambacho naweza kusema ni swala la muda tu.
 
Katika maisha yąngu ya JF sijawahi mchongea mtu ąfungiwe, amini hivyo, ma sinaga kawaida ya kutukana pia
Mkuu hujawahi kumchongea mtu afungiwe yawezekana unayafurahia matusi na kama unayafurahia basi nawe ni mmoja wapo unayetukana.
 
Yes kinahalalisha kabisa. Kai ameshika namba 4 katika wachezaji waliohusika na magoli ndani ya mwaka 2020. Yan ukimtoa Lewandowski, Messi na Ronaldo anafuatia Kai Havertz.

Huyu dogo ni mchezaji mzuri sana sema engi price tag yake ndio inawapa wenge wakihisi hastahili kitu ambacho naweza kusema ni swala la muda tu.
Wacha maneno weka takwimu na vyanzo.
 
JamiiForums1814390041.jpg
 
Mkuu hujawahi kumchongea mtu afungiwe yawezekana unayafurahia matusi na kama unayafurahia basi nawe ni mmoja wapo unayetukana.
Wewe wasema, na usinilishe maneno tafadhari! Sasa wanaoongoza kwa matusi na vifungo ni watu wenu wa jukwaa hili, na mara nýingi tu mnawashiana moto wenyewe kwa wenyewe,

Mimi natumi@ JF app vîa mobile phone kuingia humu, ambayo hakuna kitufe cha REPORT hadi katika computer ndio waweza kiona, sașa nakurepoti vp
 
Yes kinahalalisha kabisa. Kai ameshika namba 4 katika wachezaji waliohusika na magoli ndani ya mwaka 2020. Yan ukimtoa Lewandowski, Messi na Ronaldo anafuatia Kai Havertz.

Huyu dogo ni mchezaji mzuri sana sema engi price tag yake ndio inawapa wenge wakihisi hastahili kitu ambacho naweza kusema ni swala la muda tu.
Naamini performance yake itategemea na Lampard anataka connection iweje kwenye timu.

Mabadiliko yoyote yatataka apate muda wa kuadapt na huo utakua muda wa sisi kurusha madongo.
 
Carabao Cup fourth round
Spurs vs Chelsea
The EFL confirmed the decision on Friday morning, meaning Spurs will now play the Blues on Tuesday, September 29 for a place in the quarter-finals.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom