Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
Huyu cabalerro leo atalala naa gloves...maadogo wanaapiga balaaaTumeanza kuziona nyavu zao, kongole.
Ila msema kweli mpenzi wa Mungu, Barnsley wanashambulia khaaa!!![]()

Anacheza na nani?Kai ni swala la muda tu basically kila kitu katakana saw
Huyu cabalerro leo atalala naa gloves...maadogo wanaapiga balaaa
Amewaonyesha tena huku, anaondoka na mpira leoNa atawaonesha kweli kweli
Mbna kafunga magoli maraisi dhidi ya team rahisiHevertz kaweka 3 huko

Sasa huyo Arsenal kafanyaje? Ilo goli la bahati ambalo Leicester wamejifunga?Mechi ni arsenal na Leicester nyie mnacheza na Barnsley pia mnajimwambafai![]()
Ni Leicester lakini, sio Barnsley!Sasa huyo Arsenal kafanyaje? Ilo goli la bahati ambalo Leicester wamejifunga?
Makalio yako hayana adabuNitoe tamko kidogo..
Ushindi wetu leo sisi ze blauzi haumaanishi kwamba tayari tumeshakaa sawa, timu bado ni mbovu.
Ukiangalia timu tunayocheza nayo leo ni la ligi daraja la kwanza na inashika nafasi ya 20 kwenye msimamo wa ligi yao. Hivyo hii mechi ni kama mazoezi tu, Karavati ni yule yule, hata ashinde goli 10.. Hawezi kubadilika!
View attachment 1578755
Hakuna popote nimesema hivyoZiyech aanzie njee????
mmesema Chelsea alinunua shati.Mbna kafunga magoli maraisi dhidi ya team rahisi![]()
Mkuu sasa hapo kwenye mechi 2 za ligi yao wanashika hyo nafac ndo inamaanisha hyo ni nafac yao...? Au nyumbu kushika nafasi ya 16 huko ndo inamaanisha ni nafasi yao?Nitoe tamko kidogo..
Ushindi wetu leo sisi ze blauzi haumaanishi kwamba tayari tumeshakaa sawa, timu bado ni mbovu.
Ukiangalia timu tunayocheza nayo leo ni la ligi daraja la kwanza na inashika nafasi ya 20 kwenye msimamo wa ligi yao. Hivyo hii mechi ni kama mazoezi tu, Karavati ni yule yule, hata ashinde goli 10.. Hawezi kubadilika!
View attachment 1578755
Magoli yenyewe blunders![]()

Hata van de beek Jana naona alifunga magoli rahisi Jana n mwenzie lingard dhidi ya team rahisi...Mbna kafunga magoli maraisi dhidi ya team rahisi![]()
Nitoe tamko kidogo..