Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,930
- 27,184
Hao ni Sky SportsWacha maneno weka takwimu na vyanzo.
Hao ni Sky SportsWacha maneno weka takwimu na vyanzo.
Hata mmi natumia App kupitia mobile phone hiyo option ya REPORT ipo.Wewe wasema, na usinilishe maneno tafadhari! Sasa wanaoongoza kwa matusi na vifungo ni watu wenu wa jukwaa hili, na mara nýingi tu mnawashiana moto wenyewe kwa wenyewe,
Mimi natumi@ JF app vîa mobile phone kuingia humu, ambayo hakuna kitufe cha REPORT hadi katika computer ndio waweza kiona, sașa nakurepoti vp
Kwakweli hamta poa mpaka muone ile proce tag inakidhi vigezo.Naamini performance yake itategemea na Lampard anataka connection iweje kwenye timu.
Mabadiliko yoyote yatataka apate muda wa kuadapt na huo utakua muda wa sisi kurusha madongo.
Jaribu kuwa mpenda soka kuliko kuwa mpiga zumari. Tatizo lenu mpo kwenye betting, na mnaliwa mara kwa mara.Leo Man U anapigwa.
Basi itakua ndiyo mara yako ya kwanza kuona nikiandika kuhusu mpira. Ukijiridhisha kua sibet na hua natoa maoni objectively tunaweza kujadili.Jaribu kuwa mpenda soka kuliko kuwa mpiga zumari. Tatizo lenu mpo kwenye betting, na mnaliwa mara kwa mara.
Kama mtu anatoa matusi na ni tabia yake kongwe kufanya hivyo ni sawa kuripotiwaHata mmi natumia App kupitia mobile phone hiyo option ya REPORT ipo.
Hilo swala la kutukanana wenyewe ni kwa sababu ya mpuuzi mmoja ambaye naye nahisi keshakula ban. Otherwise chunguza utoaji comment wa wenzako na wewe pia mnatukana sana halafu mwisho wa siku mbasema ni sisi ndio watukanaji.
Auzwe tu siyo mbaya.Rudiger Chelsea Exit
Chelsea receive loan offer from PSG for Antonio Rudiger... but are considering selling the out-of-favour defender amid interest from Barcelona FC and AS Roma
View attachment 1581124
- PSG have submitted a loan offer for Chelsea defender Antonio Rudiger
- The French champions proposed a loan with option to buy the defender
- Chelsea are considering trying to sell the German international permanently
Wewe nimekwambia kwa mwaka 2020.



magolikipa wa SpainEbu kuwa serious!Auzwe tu siyo mbaya.
Hakuna wakutoa hata £10m kwa kepa , labda mumtoe mkopoKepa anauzwa paundi Mil 40, Majirani changamkieni dili hilo jamani
Bora Morata alitupatia hasara ya Mil 26 huyu atatupa zaidi ya mil 40 hasara kwa sababu sidhani kama iko timu itakayotoa zaidi ya mil 30
View attachment 1581663