Uchambuzi wa Mendy
Edouard Mendy Ni kipa mwenye umri wa miaka 28 ubora wake wa kudaka ameiwezesha team yake ya Rennes kwakwanza kwenye historia ya kuwa timu mpya kuingia uefa champions league baada ya kushika nafasi ya 3 kwenye msimamo wa League 1 ya ufaransa.Mendy amecheza games 24 na ameruhusu goals 19 na kupata clean sheets 9.
Strength
1.Ni hodari wa long shots
Mendy amepata umaarufu mkubwa kwenye league hiyo baada ya kuwa hatari Sana kwenye kusave mipira hatari ya long distance shots kitu ambacho Ni udhaifu mkubwa wa Kepa.Moja Kati ya save hatari aliyowahi kufanya ya kombala ya masafa marefu Ni ile ya marquinhos aliyopiga kwenye nyuzi 90 na Mendy kuisave wakati ilitegemewa ingekuwa goal.
2.Ni mzuri kwenye set pieces
Kwenye magoals 19 aliyoruhusu katika mechi 24 amefungwa goal 4 tu ya corner kwenye mipira ya corner 39 zilizopigwa kwenye goal lake.Kitu ambacho Ni moja ya weakness kubwa Sana kwa Kepa.
3.Ni leadership kwenye lango
Mendy anasifika kwa kuwa na vocal kwenye kupanga beki zake au mabeki wake kufanya makosa amekuwa akiwakemea Mara nyingi.
4. Percentage ya saves Ni nzuri
Mendy ana average ya 78.4% ya saves wakati Kepa ana average percentage ya 54.5%.
Weakness
1. Sio mzuri akiwa na mpira
Mendy Ni hodari Sana kwenye kudaka lakini sio kwenye kumiliki mpira mguuni sio passer mzuri Sana akiwa na mpira.
NB: Faida ambayo Edouard Mendy ataileta Chelsea kwanza amecheza ligi moja na Thiago Silva anaongea vizuri kifaransa sambamba na Thiago Silva Hilo itasaidia kutengeneza good partnership na Thiago Silva kwenye lugha mpaka kwenye mchezo.
ryana fan
shimba96
MsemajiUkweli
Depal
Cash Money Forever
lembu
Southern Highland
Hazard CFC