Kiazi kipya kimekuta daraja limedonolewa na majogoo.Wamesajiri Kakolanya kutoka Rennes
Kiazi kipya kimekuta daraja limedonolewa na majogoo.Wamesajiri Kakolanya kutoka Rennes
Lakini kulingana na maelezo yako price tag ya Pepe haimstahi kucheza mechi ya Carabao Cuphuyu Pepe kashascore dhidi ya timu ngumu. Kaassisst, katoa key passes. Kazi ni kwenu
Nasikia mna kipa mpya

Arteta kasema juhudi mazoezini na mipango yake kwako zitatathmini uwe wapi kwenye kikosi.Lakini kulingana na maelezo yako price tag ya Pepe haimstahi kucheza mechi ya Carabao Cup![]()
Mkuu kama huu si uchawi ni nini?Mmepigwa
Ni swala la muda tutakuja hapa kuwaeleza kama ilivyokuwa kwa kepa ,
Uliona lini ndan ya miaka 10 kipa muafrika EPL tena big 6?
Kipa wa mwisho aliyesumbua na ni muafrika alikuwaga Liverpool miaka hiyo
Mtakuja hapa kulalamika mrudi tena sokoni kusaka kipa
Hebu wataje hao wachezaji 7 ambao ni regular starter walioanza janaKwan Barnsley anacheza Golf au Formula 1? Si wote tunacheza mpira?
Leicester mwenyewe kakupangia kikosi nyoronyoro sana wakati nyie mmeweka karibia wachezaji 7 regular starter.
Malizia hapo.. Dhidi ya BarnsleyKafunga sasa unatakaje?
Yani mnamleta Kakolanya ulaya

Hata kwa Kepa nilipingwa sana humu, kipind hicho mnamjua kupitia YouTubeMkuu kama huu si uchawi ni nini?
Sasa kama ni mipango ya kocha kwa nini unahoji kwa Havertz kucheza Carabao Cup?Arteta kasema juhudi mazoezini na mipango yake kwako zitatathmini uwe wapi kwenye kikosi.
Pepe hachezi carabao au ligi kwaajili ya price tag yake ni mipango ya kocha.
Unasahau ule msemo sajili yoyote ni kamari unajiona mjanja mwenyewe ulichosema kimetimia ila utakuja kukataa maneno yako kama akianza kuperform vizuri kama ambqvyo sasa mnafanya kwa Kai. Amejitaji kucheza vizuri mnasema vigoli vya kawaida mara katimu kadogo.Hata kwa Kepa nilipingwa sana humu, kipind hicho mnamjua kupitia YouTube
Nikawaeleza humu miezi miwili nyuma Zidane alitaka kulipa £18m akasita , miez minne baadae Chelsea akatapeliwa kwa £71m
The rest is history
Na Huyu Mendy mtakuja hapa kutafuta mchawi
Kwahiyo umemaind?Unasahau ule msemo sajili yoyote ni kamari unajiona mjanja mwenyewe ulichosema kimetimia ila utakuja kukataa maneno yako kama akianza kuperform vizuri kama ambqvyo sasa mnafanya kwa Kai. Amejitaji kucheza vizuri mnasema vigoli vya kawaida mara katimu kadogo.
Sema ndivyo binadamu tumeumbwa kila siku kumuombea adui njaa. Hao Madrid wenyewe wanalia na Luca Jovic kaende kuwa flop la kimataifa. Kamari iyoo isijikute mjanja wewe.
Yea, mchezaji ambaye ameflop last two games with 72M price tagSasa kama ni mipango ya kocha kwa nini unahoji kwa Havertz kucheza Carabao Cup?
Naye Lampard ana mipango na anajua anachotaka kwa mchezaji.
Uchambuzi wa Mendy
Edouard Mendy Ni kipa mwenye umri wa miaka 28 ubora wake wa kudaka ameiwezesha team yake ya Rennes kwakwanza kwenye historia ya kuwa timu mpya kuingia uefa champions league baada ya kushika nafasi ya 3 kwenye msimamo wa League 1 ya ufaransa.Mendy amecheza games 24 na ameruhusu goals 19 na kupata clean sheets 9.
Strength
1.Ni hodari wa long shots
Mendy amepata umaarufu mkubwa kwenye league hiyo baada ya kuwa hatari Sana kwenye kusave mipira hatari ya long distance shots kitu ambacho Ni udhaifu mkubwa wa Kepa.Moja Kati ya save hatari aliyowahi kufanya ya kombala ya masafa marefu Ni ile ya marquinhos aliyopiga kwenye nyuzi 90 na Mendy kuisave wakati ilitegemewa ingekuwa goal.
2.Ni mzuri kwenye set pieces
Kwenye magoals 19 aliyoruhusu katika mechi 24 amefungwa goal 4 tu ya corner kwenye mipira ya corner 39 zilizopigwa kwenye goal lake.Kitu ambacho Ni moja ya weakness kubwa Sana kwa Kepa.
3.Ni leadership kwenye lango
Mendy anasifika kwa kuwa na vocal kwenye kupanga beki zake au mabeki wake kufanya makosa amekuwa akiwakemea Mara nyingi.
4. Percentage ya saves Ni nzuri
Mendy ana average ya 78.4% ya saves wakati Kepa ana average percentage ya 54.5%.
Weakness
1. Sio mzuri akiwa na mpira
Mendy Ni hodari Sana kwenye kudaka lakini sio kwenye kumiliki mpira mguuni sio passer mzuri Sana akiwa na mpira.
NB: Faida ambayo Edouard Mendy ataileta Chelsea kwanza amecheza ligi moja na Thiago Silva anaongea vizuri kifaransa sambamba na Thiago Silva Hilo itasaidia kutengeneza good partnership na Thiago Silva kwenye lugha mpaka kwenye mchezo.
ryana fan
shimba96
MsemajiUkweli
Depal
Cash Money Forever
lembu
Southern Highland
Hazard CFC
ngoja tumsubiri uwanjani thenMkuu naona sasa tumeacha kuongelea mpira. Naomba tumpe muda dogo ndio kwamza kacheza mechi 3 napo hamalizi dakika zote 90.Yea, mchezaji ambaye ameflop last two games with 72M price tag
Simfahamu vizuri nimemuanglia Youtube tu anaonekana kweli mzuti kwenye mipira ya mbali. Tumuombee kheri afanye vizuri aje atibu matatizo yetu.Uchambuzi wa Mendy