OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Kafunga sasa unatakaje?Mnakaa kimya kwa sababu mnajua mmekosea ila hamtaki kusema kama mmekosea, ndio inavyokuwa..
Yani hapo mnatamani huyo Kai hata afunge goli game ijayo ili mhisi kama mmetu-prove wrong!
Lakini ukweli utabakia pale pale.. Falcao wenyewe alipoenda Man Utd, katika zile game za mwanzo tu walishajua kama pale wamepigwa.
Aliposhinda goli lake la kwanza wakapata la kusema.
Mpaka anaondoka, ukimuuliza leo shabiki wa Manyumbu kuhusu Falcao atakuambia tumepigwa!
Ndio inavyokuwa, na ndo inatokea kwenu pia!![]()





