Hii ni 'no look pass' sasa tafuta 'no look defense' za Maguire.Kama anairudisha kwa kipa kumbe inaenda pembeni kwa salah yaani ukimuangalia Thiago unaweza ukadhani mpira sio kazi ngumu .
Lakini ukimuangalia Lingard jinsi anavotumia nguvu Ndio utajua kwamba mpira ni kati ya kazi ngumu sanaView attachment 1576340
Ok.Mashabiki wa team nyingine ndio wanamlalamikia Kai havertz kuwa mzigo wakati mashabiki wa Chelsea tumetulia hii inakupa picha jinsi jamaa zetu wanavyoteseka na Kai.Kai Ni bonge la mchezaji na game ya Liverpool alionesha improvement from game dhidi ya Brighton kacreate 2 open chances to Timo Werner naamini atazidi kuimarika game dhidi game kutokana hakucheza game yoyote kwa miezi 2 alikuwa likizo na ameshiriki mazoezi ya Chelsea wiki moja tu.
Hivi una mashaka na Werner ?..huyo ni suala LA muda tu...sisi fans wa Chelsea hauoni tukimuongelea sana lkn wewe shabiki wa nyumbumilia unaumia nini shida!!?Ok.
Kai kaimprove ukilinganisha game ya Brighton. Je Werner naye kaimprove?
Mkuu hakuna aliyeimprove.. Sisi ze blauzi tunajua kabisa pale tumepigwa!Ok.
Kai kaimprove ukilinganisha game ya Brighton. Je Werner naye kaimprove?
Mimi sishabikii pundamilia.Hivi una mashaka na Werner ?..huyo ni suala LA muda tu...sisi fans wa Chelsea hauoni tukimuongelea sana lkn wewe shabiki wa nyumbumilia unaumia nini shida!!?
Sisi Chelsea tushazoea kupigwa. Kuna dogo anaitwa Saka anachezea Arsenal yaani kila position anacheza mi naamini yule akiambiwa akae kipa atapata clean sheets nyingi kuliko kipa wetu Kepa.Mkuu hakuna aliyeimprove.. Sisi ze blauzi tunajua kabisa pale tumepigwa!
£72m imeenda bure kabisa!
Yani timu yetu ni mbovu, na Lamps kocha wa ovyo kabisa!
Lampard The GOATHawa jirani zetu wa Arse huwa whawana kazi na inaonyesha kule kwenye mitaa yao wako kila saa kwenye vijiwe vya majungu tu wala hamna lolote ni weupe kama timu yao, Mid table team. walitakiwa waende kwenye majukwaa ya Westham wakabishane na akina David Moyes saizi yao
So kwa kusema hayo itawaondoa kwenye midtable!Lampard The GOAT
Pulisic sio wa kuanzia bench kwa mtazamo wangu.Issue ya giroud na timo kucheza pamoja ni nzuri lakin lazima pulisic aanzie bench tukicheza hivyo
Je tuko tayari au ndio tutakuja nazile lawama kwanini pulisic aanzie nje
New ChelseaKilichotucost ni red ya christensen
Halaf bado player wengi wako njee due to injury ujaona muunganiko watakaoleta
Ukimtoa werner na kai wachezaj waliosalia wote ni wale wale wamsim uliopita
Hatujawa tim nzuri ambayk utasema 2 player wanaweza badilisha team completely
Subir new signing zote zikiwepo hapo ndio uanze kumuhukumu lampard ila kama ndio vile kwa kutegemeea eti werner na kai peke yao wakupe matokeo against liverpool na the likes sahau
Waache tu muda ukifika watakimbia wenyewe.Mashabiki wa Arsenal wameamuà kuweka kambi yao humu kabisa Hahahahahahahahah.
Hii Chelsea yetu haimtegemei mtu mmoja kushinda au kuassisst.So kwa kusema hayo itawaondoa kwenye midtable!
Mimi ningependa Giroud ndio achgeze striker na Pulisic acheze nafasi yake, Werner acheze kiungo mshambuliaji akisaidiana na Havertz kwenye formation ya 4-3-3, kuwe na DM mmoja ambaye ni Kante na mabeki wanne. Kwa formation hii itabidi Kovacic aanzie benchiPulisic sio wa kuanzia bench kwa mtazamo wangu.
Halafu kipa nani?Mimi ningependa Giroud ndio achgeze striker na Pulisic acheze nafasi yake, Werner acheze kiungo mshambuliaji akisaidiana na Havertz kwenye formation ya 4-3-3, kuwe na DM mmoja ambaye ni Kante na mabeki wanne. Kwa formation hii itabidi Kovacic aanzie benchi
Sasa wewe shabiki wa Timu gani ? Tuanzie hapo kwanza na kwanini unaumia sana kuliko hata wenye Uzi wao hapaMimi sishabikii pundamilia.
Swali langu sijauliza kama dhihaka ni bahati mbaya tu upo kwenye maumivu kwahiyo kila utakachoambiwa utahisi ni tusi.
Ila ndo ukweli kwamba Werner na Havertz hawamfikii Kepa kwenye kua involved na magoli na assisst.