Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

[emoji23][emoji23][emoji23]
FB_IMG_16007857153944416.jpg
 
Mashabiki wa Arsenal wameamuà kuweka kambi yao humu kabisa Hahahahahahahahah.
 
Ziyech, na Pulisic wakirudi timu itakuwa hivi

------------------- ------------------- Werner ------------------- -------------------

------------------- Pulisic ------------------- Havertz ------------------- Ziyech -------------------

Kovacic ------------------- Kante

Ben Chilwell ------------------- Zouma ------------------- Silva ------------------- Azpilicueta

------------------- ------------------- Mendy ------------------- -------------------

SUB: Kepa, Alonso, Christensen, Tomori, Rudiger, Reece, Jorginho, Barkley, Gilmour, Mount, Odoi, Giroud, Tammy
 
Mkuu hata kama una chuki na Lampard usifikie kutoa habari za uongo. Toa maoni yako kwa hoja na sio uzushi wa kinyangema.

[emoji838] There is hope that Thiago Silva and Ben Chilwell will be ready for West Brom, with the potential of them getting some game time in the Carabao Cup against Barnsley.

[emoji838] Chelsea are hopeful that Christian Pulisic will be available for West Brom match.

[emoji838] Hakim Ziyech may not be ready for the match at the Hawthorns against West Brom.

Olivier Harbord - Football London

Naona hopeful kibaao.. Acheni kujidanganya nyie, hao wachezaji hamuwapati kwenye kikosi wiki hii.
Kumbukeni hao ni wazungu, sio kama huku kwetu bongo.

Na ukimuona mmoja wapo kati ya hao kwenye kikosi basi ataanzia sub na unakuta anacheza dk 15 au 20, lakini sio mtu akae anajifariji waanze wote!

Bado mna safari ndefu ya kuwajumuisha wote hao kwenye kikosi chenu, sio haraka kama mnavyotaka!
 
Mashabiki wa team nyingine ndio wanamlalamikia Kai havertz kuwa mzigo wakati mashabiki wa Chelsea tumetulia hii inakupa picha jinsi jamaa zetu wanavyoteseka na Kai.Kai Ni bonge la mchezaji na game ya Liverpool alionesha improvement from game dhidi ya Brighton kacreate 2 open chances to Timo Werner naamini atazidi kuimarika game dhidi game kutokana hakucheza game yoyote kwa miezi 2 alikuwa likizo na ameshiriki mazoezi ya Chelsea wiki moja tu.
Mnakaa kimya kwa sababu mnajua mmekosea ila hamtaki kusema kama mmekosea, ndio inavyokuwa..

Yani hapo mnatamani huyo Kai hata afunge goli game ijayo ili mhisi kama mmetu-prove wrong![emoji1]

Lakini ukweli utabakia pale pale.. Falcao wenyewe alipoenda Man Utd, katika zile game za mwanzo tu walishajua kama pale wamepigwa.
Aliposhinda goli lake la kwanza wakapata la kusema.
Mpaka anaondoka, ukimuuliza leo shabiki wa Manyumbu kuhusu Falcao atakuambia tumepigwa!

Ndio inavyokuwa, na ndo inatokea kwenu pia![emoji23][emoji23]
 
Ziyech, na Pulisic wakirudi timu itakuwa hivi

------------------- ------------------- Werner ------------------- -------------------

------------------- Pulisic ------------------- Havertz ------------------- Ziyech -------------------

Kovacic ------------------- Kante

Ben Chilwell ------------------- Zouma ------------------- Silva ------------------- Azpilicueta

------------------- ------------------- Mendy ------------------- -------------------

SUB: Kepa, Alonso, Christensen, Tomori, Rudiger, Reece, Jorginho, Barkley, Gilmour, Mount, Odoi, Giroud, Tammy
Nyie mashabiki wa blauzi kila siku mnaota kupanga vikosi tu!

[emoji23][emoji23][emoji23]

Ngoja tuone wakianza wote, sijui mtapangua tena?![emoji23][emoji23]
 
Naona hopeful kibaao.. Acheni kujidanganya nyie, hao wachezaji hamuwapati kwenye kikosi wiki hii.
Kumbukeni hao ni wazungu, sio kama huku kwetu bongo.

Na ukimuona mmoja wapo kati ya hao kwenye kikosi basi ataanzia sub na unakuta anacheza dk 15 au 20, lakini sio mtu akae anajifariji waanze wote!

Bado mna safari ndefu ya kuwajumuisha wote hao kwenye kikosi chenu, sio haraka kama mnavyotaka!
Nilikua nqmjibu huyo jamaa aliyetoa taarifa ya uongo eti Lampard hawezi kumpanga Silva kwa sababu hajui kingereza ndio maana nikaweka na hizo taarifa nashangaa nawewe umerukia juu.

chelsea NEWS:
I' am not sure if that's a birthday present or not... but he is fit': Frank Lampard confirms that new signings Thiago Silva and Ben Chilwell are in his Chelsea squad for Carabao Cup clash with Barnsley.
 
Umeskiliza/ Umesoma press conference ya lamps ya jana
Kama umeisoma or kuskiliza usingetuma hii reply yako.
 
Nilikua nqmjibu huyo jamaa aliyetoa taarifa ya uongo eti Lampard hawezi kumpanga Silva kwa sababu hajui kingereza ndio maana nikaweka na hizo taarifa nashangaa nawewe umerukia juu.

chelsea NEWS:
I' am not sure if that's a birthday present or not... but he is fit': Frank Lampard confirms that new signings Thiago Silva and Ben Chilwell are in his Chelsea squad for Carabao Cup clash with Barnsley.
Kocha kasema ila kuna makocha wa kigongoni wanasema hawataanza
 
Mnakaa kimya kwa sababu mnajua mmekosea ila hamtaki kusema kama mmekosea, ndio inavyokuwa..

Yani hapo mnatamani huyo Kai hata afunge goli game ijayo ili mhisi kama mmetu-prove wrong![emoji1]

Lakini ukweli utabakia pale pale.. Falcao wenyewe alipoenda Man Utd, katika zile game za mwanzo tu walishajua kama pale wamepigwa.
Aliposhinda goli lake la kwanza wakapata la kusema.
Mpaka anaondoka, ukimuuliza leo shabiki wa Manyumbu kuhusu Falcao atakuambia tumepigwa!

Ndio inavyokuwa, na ndo inatokea kwenu pia![emoji23][emoji23]
Kai Ni suala la muda hiyo comment yako utaifuta najua hapo umeongea kishabiki mzee Kai Ni mtu na nusu baada ya game tatu tu mtatamani jamaa awe injury na kikubwa zaidi jamaa anakunesha sign of improvement sisi hatuongei kwasababu tunajua mpira na situation uwezi mchezaji ambaye ajacheza mpira zaidi ya miezi miwili alafu pia hajacheza hata game moja ya pre season na Chelsea alafu eti umtegemee kwenye game moja aoneshe performance kubwa serious?
 
Kai hana tofauti na baraka majogoro wa mtibwa sukari, alichozidi yeye ni rangi tu
 
Kai Ni suala la muda hiyo comment yako utaifuta najua hapo umeongea kishabiki mzee Kai Ni mtu na nusu baada ya game tatu tu mtatamani jamaa awe injury na kikubwa zaidi jamaa anakunesha sign of improvement sisi hatuongei kwasababu tunajua mpira na situation uwezi mchezaji ambaye ajacheza mpira zaidi ya miezi miwili alafu pia hajacheza hata game moja ya pre season na Chelsea alafu eti umtegemee kwenye game moja aoneshe performance kubwa serious?
zaidi ya 90% ya mashabiki wa Chelsea wana imani na Kai na kwamba wanaamini atarudi kwenye fomu haraka sana kuliko ilivyotarajiwa, Tumpe mechi 3 zaidi
 
Unatumia Pauni Milioni 135 kwa ajili ya Werner na Kai halafu assisst anatoa Kepa.

Kwa mechi za juzi Kane ana assisst nyingi kuliko pasi zilizofika za Kai.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom