1600697777661.png
 
Kama anairudisha kwa kipa kumbe inaenda pembeni kwa salah yaani ukimuangalia Thiago unaweza ukadhani mpira sio kazi ngumu .

Lakini ukimuangalia Lingard jinsi anavotumia nguvu Ndio utajua kwamba mpira ni kati ya kazi ngumu sana
IMG-20200921-WA0011.jpg
 
Huyu Ollachuga Oc ni mjanja sana alikuja kule jukwaani kwetu akatukana matusi makubwa makubwa mpaka nikashangaa, tulivyokaa katika kikao cha mamods tukataka tumpige ban, lakini mimi nikasema hapana tusijisumbue kwasababu baadae wana game na liverpool atajipiga ban mwenyewe na ndivyo ilivyokuwa ,sasa hivi yupo machokoroni huko
Nakumbuka , alikuja Akatoa matusi makubwa kule jukwaan kwetu

Lakini ukasema Tumuache Atajipiga Ban mwenyewe
 
Kama anairudisha kwa kipa kumbe inaenda pembeni kwa salah yaani ukimuangalia Thiago unaweza ukadhani mpira sio kazi ngumu .

Lakini ukimuangalia Lingard jinsi anavotumia nguvu Ndio utajua kwamba mpira ni kati ya kazi ngumu sanaView attachment 1576340
Lingard si kikundi cha Ma dancer tu wa msondo ngoma.... Lingard, Pogba wao wamesajiliwa kushangilia magoli kwa staili mbalimbali . Kwaio tunasubiri wasajili watu wa kufunga hayo magoli ya kushangiliwa...... Vinginevyo LINGARD, POGBA ni kama na dancer wa Twanga Pepeta ya asha baraka

#COYG
 
Arsenal mwaka huu tutawajua wote hata wale waliohamia Aston Villa na Norwich city, mwaka huu mechi mbili tu wamefufuka. Ngoja vipigo vianze kutembea watarudi kwa Sammata na kujifanya wazalendo wa kweli
Mkuu hata mimi nashangaa sana naona ID nyingi mpya mpaka nashindwa kuelewa hawa ni kutoka wapi sijui.
 
Mkuu, hao jamaa pumbavu sana.
Kazi yao ni kubadili ID tu.
Kuna taka taka inaitwa Pweza sijui imetokea wapi, inazingua kinoma.
GGMU
Arsenal mwaka huu tutawajua wote hata wale waliohamia Aston Villa na Norwich city, mwaka huu mechi mbili tu wamefufuka. Ngoja vipigo vianze kutembea watarudi kwa Sammata na kujifanya wazalendo wa kweli
 
Mkuu rudisha id yako ya zamani tukutambue.

Back
Top Bottom