Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu hata mimi nashangaa sana naona ID nyingi mpya mpaka nashindwa kuelewa hawa ni kutoka wapi sijui.
Usijali,
1600718662188.jpg
 
Hv kuna grup la wasap la Chelsea au EPL ntaweza kujiunga huko.?
 
Unaandika pumba mno leo ngoja nikurekebishe wewe mzee wa Arse8. Timu iliyopanda daraja imepata goli 3 kwa Liver na timu iliyokuwepo ligi kuu imeshindwa kupata kwa maelezo yako Leeds ni bora kuliko Chelsea? Nawewe unasimama mbele ya wanaume unakaza msuli wa matako unaongea huu utumbo? [emoji23][emoji23][emoji23]

Dogo kila game approach zinatofautiana. Mimi nikicheza na wewe sivyo nitakavyo cheza na nyumbu au Man city. Liver wamekuja kupata goli baada sisi kupunguzwa, pia kipa wetu ni moja kati ya watumishi hewa EPL ndipo Liver walipofanikiwa hapo.

Mtumishi Hewa 😂😂😂😂
 
Kuna taarifa kuwa Sliva ataendelea kutokuwa fiti mpaka ajue lugha ya Kiingereza. Kweli Lampard ni kiazi sana
Mkuu hata kama una chuki na Lampard usifikie kutoa habari za uongo. Toa maoni yako kwa hoja na sio uzushi wa kinyangema.

[emoji838] There is hope that Thiago Silva and Ben Chilwell will be ready for West Brom, with the potential of them getting some game time in the Carabao Cup against Barnsley.

[emoji838] Chelsea are hopeful that Christian Pulisic will be available for West Brom match.

[emoji838] Hakim Ziyech may not be ready for the match at the Hawthorns against West Brom.

Olivier Harbord - Football London
 
Watu wengine lugha hawajui
 
Naona umemuumbua
 
Mashabiki wa team nyingine ndio wanamlalamikia Kai havertz kuwa mzigo wakati mashabiki wa Chelsea tumetulia hii inakupa picha jinsi jamaa zetu wanavyoteseka na Kai.Kai Ni bonge la mchezaji na game ya Liverpool alionesha improvement from game dhidi ya Brighton kacreate 2 open chances to Timo Werner naamini atazidi kuimarika game dhidi game kutokana hakucheza game yoyote kwa miezi 2 alikuwa likizo na ameshiriki mazoezi ya Chelsea wiki moja tu.
 
TAKATAKA FC.... NG'OMBE KAMA NG'OMBE bado mnaugulia maumivi... Ile dozi iliyopigwa juzi maumivu yanakaa mwilini siku nane mpaka kumi

#COYG
 
Mkuu hata kama una chuki na Lampard usifikie kutoa habari za uongo. Toa maoni yako kwa hoja na sio uzushi wa kinyangema.

[emoji838] There is hope that Thiago Silva and Ben Chilwell will be ready for West Brom, with the potential of them getting some game time in the Carabao Cup against Barnsley.

[emoji838] Chelsea are hopeful that Christian Pulisic will be available for West Brom match.

[emoji838] Hakim Ziyech may not be ready for the match at the Hawthorns against West Brom.

Olivier Harbord - Football London
Uko sawa, hakuna sehemu imeelezwa kuwa mpaka ajifunze kiingereza ndio awe fit
Hakim Ziyech mpaka 03/10/2020 ndio anarudi kwenye timu
Pulisic na Benchilwell mpaka 26/09/2020
 
Kuna taarifa kuwa Sliva ataendelea kutokuwa fiti mpaka ajue lugha ya Kiingereza. Kweli Lampard ni kiazi sana
Kutoka kwenye press conference ya lamps

Silva na chilwel kesho watakuwemo kwenye kikosi kitakachocheza mechi dhidi ya barnsley

Pulisic na ziyech wako karibun kurudi

Eduoard mendy yupo anafanyiwa vipimo vya afya na akifudhu kipimo cha covid hapo alhamis huenda akajumuishwa kwenye kikos cha wikiend hii dhid ya wba

Mechi ya kesho ni kwaajili ya first team waendelee kupata match fitness na si kwaajili ya academy.

Next time acha kutoa habari ambazo hazipo
 
Afadhali umefafanua maaana watu lugha haipandi ndio maaana wanaandika taka taka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom