Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Forget about competing for titles as long as Lampard is the coach.! Great player but clueless as a coach.
Kilichotucost ni red ya christensen

Halaf bado player wengi wako njee due to injury ujaona muunganiko watakaoleta

Ukimtoa werner na kai wachezaj waliosalia wote ni wale wale wamsim uliopita
Hatujawa tim nzuri ambayk utasema 2 player wanaweza badilisha team completely
Subir new signing zote zikiwepo hapo ndio uanze kumuhukumu lampard ila kama ndio vile kwa kutegemeea eti werner na kai peke yao wakupe matokeo against liverpool na the likes sahau
 
Ile kadi ya nyekundu ni moja ya upuuzi mwingine wa marefa na VAR.

FUCKING EPL.

Sent using Jamii Forums mobile app
tapatalk_1600633635964.jpeg
tapatalk_1600527821908.jpeg
 
Chelsea mashabiki wake ni wale watoto walioikuta ikiwa ishaanza kula hela za Roman so wengi hata hawajui mpira wao wanajali matokeo tu.

Fainali ya FA chelsea alipewa kadi nyekundu iliyotokana na njano mbili. Kama kawaida wanalalamika eti haiwezi kua kadi.

Leo tena wamepewa red wanalalamika siyo kadi. Mtu anaeleweshwa ila hajielewi anazidi kuvimba.

Unajua mpira kweli?

Baada ya ile kadi kulikua na haja ya kumtoa Havertz? Wakati wa break alikua anaonyeshwa jinsi alivyokua na work rate kubwa kisha eti akatolewa wakati ilibidi abaki awapelekee mipira wale wa mbele.
Anyway kocha wao anajua zaidi.

Chelsea hawana ujanja wakicheza na red.

Pia Werner asipoangalia atakua anampokea kijiti Tammy au Giroud.

Leeds kaweza kupata goli 3 kwa Liva hii inamaanisha Leeds ana mipango mizuri na finishing nzuri inapokuja kucheza na Liva kuliko Chelsea. Hapo moja ni timu imepanda daraja nyingine ilikua ligi kuu na msimu uliopita ipo ndani ya top four.

Wewe Ollachuga Oc kama una moyo mdogo kiasi hichi acha kushobokea majukwaa ya watu.
 
Ukimtoa werner na havertz waliosalia ni tim ile ile ya msim uliopita

Subir walioko injury warudi then ndio uanze kutoa maoni yako

Btw huwezi cheza mpira with 1CB
 
Chelsea mashabiki wake ni wale watoto walioikuta ikiwa ishaanza kula hela za Roman so wengi hata hawajui mpira wao wanajali matokeo tu.

Fainali ya FA chelsea alipewa kadi nyekundu iliyotokana na njano mbili. Kama kawaida wanalalamika eti haiwezi kua kadi.

Leo tena wamepewa red wanalalamika siyo kadi. Mtu anaeleweshwa ila hajielewi anazidi kuvimba.

Unajua mpira kweli?

Baada ya ile kadi kulikua na haja ya kumtoa Havertz? Wakati wa break alikua anaonyeshwa jinsi alivyokua na work rate kubwa kisha eti akatolewa wakati ilibidi abaki awapelekee mipira wale wa mbele.
Anyway kocha wao anajua zaidi.

Chelsea hawana ujanja wakicheza na red.

Pia Werner asipoangalia atakua anampokea kijiti Tammy au Giroud.

Leeds kaweza kupata goli 3 kwa Liva hii inamaanisha Leeds ana mipango mizuri na finishing nzuri inapokuja kucheza na Liva kuliko Chelsea. Hapo moja ni timu imepanda daraja nyingine ilikua ligi kuu na msimu uliopita ipo ndani ya top four.

Wewe Ollachuga Oc kama una moyo mdogo kiasi hichi acha kushobokea majukwaa ya watu.
Kwani ninyi ni wazee wa miaka mingapi vile???
Wachezaji wa Leeds ni tofauti kabisa na Chelsea. Timu kupanda daraja haina maana ni wabovu kuliko sisi, Ugeni pia unachangia kwenye timu hizi kucheza vizuri au vibaya, Kila timu na kila kocha ana strengths na weaknesses zake zinazofanya kushinda hapa na pale akashindwa. Watford mwaka jana alimfunga Liva na bado kashuka daraja. Ligi bado ndefu mno, kila timu ina kibonde wake. Tuna vibibonde wetu wengi tu na wengine wanabwabwata maneno hapa tukiwafikia tutawanyoa upara na kukaa hapo juu wanakomezea mate wao. Ndio kwanza mechi ya pili tu kati ya mechi 38
Mwaka jana tulianza kwa kufungwa 4 bila na Nyumbu united lakini tulikiwasha hadi top 4 karibu ligi yote
Wembe ni ule ule msimu huu, kelele zenu zitaishia kwenye chemba tu
 
Wana chelsea wenzangu hatuna hata cha kujifariji
Kwani tulikuwa na lengo la kumfunga Liva?
Hata hivyo tulicheza vizuri, wachezaji 10 halafu wakatubahatisha 2 tu!!
Tukiisha zoeana, wote tukawa wazima, wataisoma namba, hata kama ubingwa hatushindanii ila mpira tutaucheza
Msimu ujao wa 2021/22 tukikamilisha usajili wa viungo na CB, UBINGWA ni wetu mwanzoni mwa ligi
 
Chelsea mashabiki wake ni wale watoto walioikuta ikiwa ishaanza kula hela za Roman so wengi hata hawajui mpira wao wanajali matokeo tu.

Fainali ya FA chelsea alipewa kadi nyekundu iliyotokana na njano mbili. Kama kawaida wanalalamika eti haiwezi kua kadi.

Leo tena wamepewa red wanalalamika siyo kadi. Mtu anaeleweshwa ila hajielewi anazidi kuvimba.

Unajua mpira kweli?

Baada ya ile kadi kulikua na haja ya kumtoa Havertz? Wakati wa break alikua anaonyeshwa jinsi alivyokua na work rate kubwa kisha eti akatolewa wakati ilibidi abaki awapelekee mipira wale wa mbele.
Anyway kocha wao anajua zaidi.

Chelsea hawana ujanja wakicheza na red.

Pia Werner asipoangalia atakua anampokea kijiti Tammy au Giroud.

Leeds kaweza kupata goli 3 kwa Liva hii inamaanisha Leeds ana mipango mizuri na finishing nzuri inapokuja kucheza na Liva kuliko Chelsea. Hapo moja ni timu imepanda daraja nyingine ilikua ligi kuu na msimu uliopita ipo ndani ya top four.

Wewe Ollachuga Oc kama una moyo mdogo kiasi hichi acha kushobokea majukwaa ya watu.
Unaandika pumba mno leo ngoja nikurekebishe wewe mzee wa Arse8. Timu iliyopanda daraja imepata goli 3 kwa Liver na timu iliyokuwepo ligi kuu imeshindwa kupata kwa maelezo yako Leeds ni bora kuliko Chelsea? Nawewe unasimama mbele ya wanaume unakaza msuli wa matako unaongea huu utumbo? [emoji23][emoji23][emoji23]

Dogo kila game approach zinatofautiana. Mimi nikicheza na wewe sivyo nitakavyo cheza na nyumbu au Man city. Liver wamekuja kupata goli baada sisi kupunguzwa, pia kipa wetu ni moja kati ya watumishi hewa EPL ndipo Liver walipofanikiwa hapo.
 
Kilichotucost ni red ya christensen

Halaf bado player wengi wako njee due to injury ujaona muunganiko watakaoleta

Ukimtoa werner na kai wachezaj waliosalia wote ni wale wale wamsim uliopita
Hatujawa tim nzuri ambayk utasema 2 player wanaweza badilisha team completely
Subir new signing zote zikiwepo hapo ndio uanze kumuhukumu lampard ila kama ndio vile kwa kutegemeea eti werner na kai peke yao wakupe matokeo against liverpool na the likes sahau
Mbona kwenye maelezo yako hujamtaja kepa?
 
Weka picha ambayo ina mpira na kipa alikua keshatokea.
Mzee kipa atoke au asitoke sheria inasema utakapokuwa mtu wa mwisho na ukamchezea faulo attacker unapata red kwahiyo huyo aliyekula red alikuwa ni mtu wa mwisho la sivyo mane alikuwa anaenda kukutana na mtumushi hewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom