Mimi ni Chelsea. Wazee wa mwendo wa ngapi ngapi? Mwendo wa tatu tatuSasa wewe shabiki wa Timu gani ? Tuanzie hapo kwanza na kwanini unaumia sana kuliko hata wenye Uzi wao hapa
Mimi ni Chelsea. Wazee wa mwendo wa ngapi ngapi? Mwendo wa tatu tatuSasa wewe shabiki wa Timu gani ? Tuanzie hapo kwanza na kwanini unaumia sana kuliko hata wenye Uzi wao hapa
Kumbe unashabikia arsenyeto anyway sio mbaya ni vzuri mmejionyesha sasahv wkt timu yenu imepata upepo wa kisulisuli ....naomba uonekane tena ukizurula kwenye huu Uzi game zenu za mwez wa 10...maana nna uhakika tutashuhudia mengi na sajili zenu za JFMimi sishabikii pundamilia.
Swali langu sijauliza kama dhihaka ni bahati mbaya tu upo kwenye maumivu kwahiyo kila utakachoambiwa utahisi ni tusi.
Ila ndo ukweli kwamba Werner na Havertz hawamfikii Kepa kwenye kua involved na magoli na assisst.
Juzi kwenye takwimu ilikua hivi.Kumbe unashabikia arsenyeto anyway sio mbaya ni vzuri mmejionyesha sasahv wkt timu yenu imepata upepo wa kisulisuli ....naomba uonekane tena ukizurula kwenye huu Uzi game zenu za mwez wa 10...maana nna uhakika tutashuhudia mengi na sajili zenu za JF
Kocha wa kikosi cha kwanza bwana Kepa anafukuzwa omba kazi fasta.Ili Giroud acheze itabidi formation iwe hivi
Pulisic (LW) --------------------------Giroud (Str) ---------------------------Ziyech (RW)
Werner (LM) ---------------- Kante (CDM) ---------------- Havertz (RM)
Benchilwell (LB) ------------------ Zouma LCB) ------------------- Silva (RCB) ----------------James (RB)
------------------------------------Edouard Mendy (GK) -------------------------------------
Huwa anayebakigi na kutia huruma ni Dully Jr tu, wengine watatokomea kwenye hewa nyembambaKumbe unashabikia arsenyeto anyway sio mbaya ni vzuri mmejionyesha sasahv wkt timu yenu imepata upepo wa kisulisuli ....naomba uonekane tena ukizurula kwenye huu Uzi game zenu za mwez wa 10...maana nna uhakika tutashuhudia mengi na sajili zenu za JF
Kumbe wewe arsenyeto una washwa nini kwenye nyuzi zaMimi ni Chelsea. Wazee wa mwendo wa ngapi ngapi? Mwendo wa tatu tatu
Hahaha zamani mlikua mna defense takataka siku hizi defense na kipa wote takatakaKumbe wewe arsenyeto una washwa nini kwenye nyuzi za
Wenzako kaa nenda katulie kwenye Uzi wenu uliopoa kama chai ya juzi
Huu ndiyo ujinga.Lampard amesema anajua nafasi inayomfaa Havertz na anasubiri tu arudi kwenye ubora wake ili amuweke hapo anapojua yeye
Mechi na Brighton Havertz alicheza wide winga wa kulia na kwenye mechi na Liva alicheza kama False no. 9
“I have my own ideas about him where I see him, but I think the main point at the minute for Kai is getting him fit,” Lampard explained.
“He is heavily – like the squad – in pre-season mode. Because of the situation, we aren’t in a position where we can bring in back-up players for big levels of money that we can wait and integrate them into the team.
“Kai has played in various positions through his career. He has played as a number eight and as a number 10 and he has played a lot on the right-hand side for Bayer Leverkusen last year.
“He has come here to be a huge talent for this team and we just need to get him fit and ready and then I think the position will be very clear.”
Ziyech aanzie njee????Mimi ningependa Giroud ndio achgeze striker na Pulisic acheze nafasi yake, Werner acheze kiungo mshambuliaji akisaidiana na Havertz kwenye formation ya 4-3-3, kuwe na DM mmoja ambaye ni Kante na mabeki wanne. Kwa formation hii itabidi Kovacic aanzie benchi
Ndio hivyo sasaPulisic sio wa kuanzia bench kwa mtazamo wangu.
Ndo maana halisi ya squad depth sasa....km city unaona mahrez na Torres wanakula mbao...anaanza Bernardo Silva na sterling or otherwiseNdio hivyo sasa
Tukisema giroud aanze pulisic inabid aanzoe njee ambacho ni kitu hakiwezekani
Ndio kikos bora kwanguNew Chelsea View attachment 1578373
Karavati waonyeshe waonyeshe