Sasa ninaanza kuwaelewa vizuri akina Dully, kuna watu hapa ni screen tu zinawaficha lakini wangejitokeza ni hovyo sana, hawezi kuchangia bila kutukana, hawezi kumpinga shabiki mwingine bila tusi, Na hivi hivi kwenye majukwaa mengine mnaleta aibu
Mimi kusema tu Giroud atolewe kama swap deal ya kumpata Mendy basi wao mitusi utafikiri mimi nina mamlaka ya kumtoa Giroud na ni wazo tu. Wao wanaona Giroud ni wa muhimu sawa sikatai lakini mimi nimeona kipa wa muhimu zaidi,
Samahani kwa wana Chelsea wenzangu, Mimi mtu akinijia kichwa kichwa na mimi hivyo hivyo. Hakuna mtu mwenye hati miliki ya mawazo na jukwaa hili. Kama mtu anajua kuliko wengine humu na hataki mawazo mbadala asepe. Huu ni ujinga mtupu kuendekeza wala unga humu kwenye mwamvuli wa ushabiki
Tumekupata na umeongea kwa heshima Sana lakini umetuuzi ulivyosema Giroud auzwe kwanini isiwe RLC? Subiri siku Lampard ajichanganye ampange Giroud mbele na Timo Werner uone namna tutavyotisha sema Lampard Ni kocha mmoja ovyo Sana kiasi fulani.
 
Hiyo ni hoja yako na ninaheshimu siwezi kukutukana kwa vile umeona tofauti na mimi, huo ndio ukomavu na ustaharabu
 
Nishaona Dalili ya Ban kuetembezwa kwa wachangiaji huku pasipo sababu ya msingi. Tujengeni hoja kwa weledi na akili siyo kwa matusi na Kejeli. Chelsea ni timu yetu Tumeipenda wenywe!!

Wachezaji na Viongozi wa Club yetu tyr ni wakwetu, Tukubali tukatae ni wakwetu tuu; Kilichobaki ni kwenda kama Timu ilivyoamua ili sisi tuwe na Furaha na Timu yetu iwe kweny Shida na Raha.

Mashabiki wa Timu pinzani tunawapenda sana Muwapo kweny Jukwaa letu huku! Ila tunawapenda pale tuu mnapokuja kujenga hoja na kutukosoa kwa Udhaifu wa Timu yetu na Pia c vibaya kusifia pale mazuri yanapokuwepo. Ila matusi yasifanye kila siku tukawa ni watu ovyo ovyo tu. Tujaribu kuheshimiana
 
Badala kutumia picha yenye Jersey ya Chelsea, umeona bora utumie hiyo ya mabaasha zako, sio?

Mashabiki wa Arsenal na Chelsea munazingua.

Ushauri wangu, acheni utoto, japokua munakula ugali wa kengele.
Watu wana wasiwasi inawezekana Super Frank yuoo humu anachungulia tu, kama Ole anavyochungulia kule kwa manyumbuView attachment 1572018
 
Tunabishana kwa kujenga HOJA
Tunakosoana kwa kujenga HOJA
Tunarekebishana kwa kwa kujenga HOJA
Tunashauriana kwa kujenga HOJA

HAKUNA HAJA YA MATUSI.

Wote tunajenga nyumba moja, wote tunaitakia mafanikio bora timu yetu pendwa Chelsea.

Chini ya mwavuli wa Chelsea wote ni wa moja.

Blue Forever.
Hawa watukanaji ndio wanafanya wote tunaonekana watoto. Lazima tuelewe kuna watu siyo wazima vichwani mwao tujue namna ya kuishi nao wasije kutupanda vichwani maana furaha yao ipo kwenye kutukana.

Kuna mmoja nishamwambia ni utoto tu akikua ataacha

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
DullyJr huyo, arersal msambwanda.
Dogo kaą kwa kutulia, ntakuitia lembu akunyooshe
Screenshot_20200916-103641.jpg
 
Nishaona Dalili ya Ban kuetembezwa kwa wachangiaji huku pasipo sababu ya msingi. Tujengeni hoja kwa weledi na akili siyo kwa matusi na Kejeli. Chelsea ni timu yetu Tumeipenda wenywe!!

Wachezaji na Viongozi wa Club yetu tyr ni wakwetu, Tukubali tukatae ni wakwetu tuu; Kilichobaki ni kwenda kama Timu ilivyoamua ili sisi tuwe na Furaha na Timu yetu iwe kweny Shida na Raha.

Mashabiki wa Timu pinzani tunawapenda sana Muwapo kweny Jukwaa letu huku! Ila tunawapenda pale tuu mnapokuja kujenga hoja na kutukosoa kwa Udhaifu wa Timu yetu na Pia c vibaya kusifia pale mazuri yanapokuwepo. Ila matusi yasifanye kila siku tukawa ni watu ovyo ovyo tu. Tujaribu kuheshimiana
Hivi unaelewa hata ulichokiandika wewe? Umeona wapi mpinzani katukana hapa? Munaorushiana mitusi si nyinyi wenyewe, acha ukilaz@, nitakuitia Enzo akupe chai sasa hivi
 
Badala kutumia picha yenye Jersey ya Chelsea, umeona bora utumie hiyo ya mabaasha zako, sio?

Mashabiki wa Arsenal na Chelsea munazingua.

Ushauri wangu, acheni utoto, japokua munakula ugali wa kengele.
Tuliza mshono nyumbu ni nyumbu tu,
 
Tumekupata na umeongea kwa heshima Sana lakini umetuuzi ulivyosema Giroud auzwe kwanini isiwe RLC? Subiri siku Lampard ajichanganye ampange Giroud mbele na Timo Werner uone namna tutavyotisha sema Lampard Ni kocha mmoja ovyo Sana kiasi fulani.
Issue ya giroud na timo kucheza pamoja ni nzuri lakin lazima pulisic aanzie bench tukicheza hivyo
Je tuko tayari au ndio tutakuja nazile lawama kwanini pulisic aanzie nje
 
Issue ya giroud na timo kucheza pamoja ni nzuri lakin lazima pulisic aanzie bench tukicheza hivyo
Je tuko tayari au ndio tutakuja nazile lawama kwanini pulisic aanzie nje
Sasa hiv pulisic Ni injury Kuna haja gani kumweka Timo Werner pekee yake alafu unaweka takataka Kama RLC
 
Hahahaha Giroud ana option 4 tuu za kucheza:-

1. Kama Sub ya Werner
2. Werner Majeruhi
3. Werner upande wa kushoto Giroud katikati (Kimbinu)
4. Giroud kama 1st eleven kwenye michuano midogo kama Carabao cup (Werner kupumzika)
Acha kumfananisha Giroud na huyo batshuay mweupe, Giroud analijua goli sio huyo mapepe sana
 
Wachezaji wenu mara wapige pasi kwenye mabango...wengine wanalalamika wanakabwa na mabeki watatu...na nyie humu mnataka kupigana tena?..mtamuua LAMPARD kwa presha wakuu.
 
Back
Top Bottom