Pweza Boy
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 1,397
- 3,185
Mzee mwenzangu Pundamilia Fc, hivi maumivu ya zile tatu bado hayajapoa???Nyinyi si washambenga! Au haujui hilo?
GGMU.
Mzee mwenzangu Pundamilia Fc, hivi maumivu ya zile tatu bado hayajapoa???Nyinyi si washambenga! Au haujui hilo?
GGMU.
Yeye na Ollachuga wamejipiga BAN ya maisha..... Huu uzi ni mali yetu ARSENAL THE GUNNERS. .... muda huu tuko hapa tunawaacha kwanza Pundamilia Fc wajikande kande majeraha ya juziKuna mvaa blauz mmoja anajiita Papaa GX huyu swaini nimejaribu kumsachi kwenye comments zote zilizo postiwa leo sija bahatika kusoma hata comment yake moja. Inamaana yeye sio shabiki wa Chele sii ama vipi?
Au yeye ni mpaka ishinde ndio aje na blauz yake iliyo jaa maziwa makumbwa utadhani ana nyonyesha?
Tulikupiga bao 8 mpaka chaga zikavunjika lakini tulisha sahau.Mzee mwenzangu Pundamilia Fc, hivi maumivu ya zile tatu bado hayajapoa???
Tushajimilikisha huu uziMods wabadili jina tu waite "ARSENAL FC THREAD2"
Nyumbu ni Nyumbu tu. Juzi tu hapa Barca kachezea 8 kwa Bayern... Brazil mwenyewe keshawahi bugia 7 kwa Germany.... Huna unachelewaTulikupiga bao 8 mpaka chaga zikavunjika lakini tulisha sahau.
Itakua sisi kuotewa na vile vitoto!?
Kilicho tokea ni sawa na kunguru kunyea manati tu.
GGMU
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzee mwenzangu Pundamilia Fc, hivi maumivu ya zile tatu bado hayajapoa???
Mkuu hii comment yako imenichekesha mno.Unaandika pumba mno leo ngoja nikurekebishe wewe mzee wa Arse8. Timu iliyopanda daraja imepata goli 3 kwa Liver na timu iliyokuwepo ligi kuu imeshindwa kupata kwa maelezo yako Leeds ni bora kuliko Chelsea? Nawewe unasimama mbele ya wanaume unakaza msuli wa matako unaongea huu utumbo? [emoji23][emoji23][emoji23]
Dogo kila game approach zinatofautiana. Mimi nikicheza na wewe sivyo nitakavyo cheza na nyumbu au Man city. Liver wamekuja kupata goli baada sisi kupunguzwa, pia kipa wetu ni moja kati ya watumishi hewa EPL ndipo Liver walipofanikiwa hapo.
"ARSENAL SPECIAL THREAD 2"
huu ni uzi wetu wacha tuutendee haki
Ninyi mmeshaanza kutumika na vitoto vidogo vidogo ... Naomba Fa wabadili ratiba watusogezee huyu binti Maringo mapema tumbutue kabla hajatumiwa sana na hawa akina Everton, Leeds , Leicester.. usije ukaja kwangu umeshachakaa ukatafuta sababuKwakuwa wenye nyumba wamekimbia, ni rukhsa kutamba.
Ila kutamba kwako kuishie huku huku, sio Kule kwa wanaume.
GGMU.
3llyEmma Kai kanunuliwa ili alete ubunifu mbele Sio tofauti na hapo na yule Ni attack midfielder sema Lampard anamtumia Kama left winger na hiyo game kutengeneza nafasi 2 za wazi kwa Timo Werner ila Werner akakosa yule Ni Kama ozil wa Madrid uchezaji wake.Chelsea acheni Utani mna timu nzuri lkn kocha atawaharibia akiendelea kuwapanga hawa.
1.Kepa hafai bora Cabalero... Mfano goli la (2) anajisahau timu iko nyuma yeye analeta utoto golini na sio mara ya kwanza... Dirisha la usajili bado liko wazi TOENI UCHAFU HUU UKAFIE MBELE.
2.Kai Havartz hajawa na muunganiko mzuri, hana stamina, sio fighter, hakabi wala hapandishi timu... Amuache nje kwanza, Ampe nafasi TAMMY ABRAHAM huku akingoja ZIYECH awe fiti.
3. Yule beki aliyepigwa redi jana (jina gumu kidogo) waku yule hata KMC ya Kinondoni hapati nafasi,.. Weka TOMORI dogo anakaba hadi MATE ya Striker ana uwezo mkubwa.
4. REECE JAMES yuko poa sana ila kama atakuwa anapangwa na hawa akina KAI usitegemee kama atapanda kupiga krosi tofauti na hapo amtumie AZPILICUETA tu.
Poleni kwa msiba.
Mbona unauliza maswali kama polisi au takukuru weweNa hapa utuambie, huyo Salala alidhibitiwa wapi mpaka mkafungwa goli 2? Na hao wakina Zouma na Christensen wamejifunza lini kukaba?
Na huko mwisho umesema "ongeza wamecheza pamoja wamezoeana.."
Tutegemee wazoeane lini? Mwisho wa msimu au?
Tupe maelezo ya kueleweka!
#COYGArsenal mwaka huu tutawajua wote hata wale waliohamia Aston Villa na Norwich city, mwaka huu mechi mbili tu wamefufuka. Ngoja vipigo vianze kutembea watarudi kwa Sammata na kujifanya wazalendo wa kweli
Huyu Ollachuga Oc ni mjanja sana alikuja kule jukwaani kwetu akatukana matusi makubwa makubwa mpaka nikashangaa, tulivyokaa katika kikao cha mamods tukataka tumpige ban, lakini mimi nikasema hapana tusijisumbue kwasababu baadae wana game na liverpool atajipiga ban mwenyewe na ndivyo ilivyokuwa ,sasa hivi yupo machokoroni hukoYeye na Ollachuga wamejipiga BAN ya maisha..... Huu uzi ni mali yetu ARSENAL THE GUNNERS. .... muda huu tuko hapa tunawaacha kwanza Pundamilia Fc wajikande kande majeraha ya juzi
tulia wewe sisi huwa hatujifichi tupo hapa mvua na jua sio nyinyi mkipigwa kidogo mnakimbia kama kunguni wamewashiwa taaArsenal mwaka huu tutawajua wote hata wale waliohamia Aston Villa na Norwich city, mwaka huu mechi mbili tu wamefufuka. Ngoja vipigo vianze kutembea watarudi kwa Sammata na kujifanya wazalendo wa kweli