Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Yaani hii Timu siku hizi ni kama genge la wahuni na walanguzi wa mihadarati! Mpira hamjui! Timu utasema inatokea Geita vijijini! Mlishaambiwa msisajili Takataka hamkusikia
 
Yaani Liverpool msimu wa tatu huu mfululizo darajani anafanya kama kwake anazichukua point tu[emoji23][emoji23][emoji23]

Cha ajabu Klopp anamkejeri Lampard kuhusu usajiri

Lampard anashindwa kujitetea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
poleni kwa kichapo. Kuna mdau wenu mmoja hivi ana maneno mengi kama mzaramo wa msanga anajiita Ollachuga Oc naomba mumfikishie salam zangu toka kule jukwaa la machampion wa epl.

Alikula kiapo kwamba hatakanyaga tena ile mitaa ya kops kama atapata kipigo leo.

Muwe na usiku mwwma. October 28 msisahau kwenda kupiga kura kwa wingi na kumpa Lissu kura za ndio.
UHURU HAKI NA MAENDELEO YA WATU
Wasisahau pia kunawa kwa maji tiririka na sabuni na kufuata taratibu zilizotolewa na serikali
 
Unaandika pumba mno leo ngoja nikurekebishe wewe mzee wa Arse8. Timu iliyopanda daraja imepata goli 3 kwa Liver na timu iliyokuwepo ligi kuu imeshindwa kupata kwa maelezo yako Leeds ni bora kuliko Chelsea? Nawewe unasimama mbele ya wanaume unakaza msuli wa matako unaongea huu utumbo? [emoji23][emoji23][emoji23]

Dogo kila game approach zinatofautiana. Mimi nikicheza na wewe sivyo nitakavyo cheza na nyumbu au Man city. Liver wamekuja kupata goli baada sisi kupunguzwa, pia kipa wetu ni moja kati ya watumishi hewa EPL ndipo Liver walipofanikiwa hapo.
Unataka kusema mngetufunga jana [emoji7][emoji7][emoji28]
 
Kuhusu viungo musiwe na wasi, nitamshauri Abrahimobich awanunulie, Nyanya ndimu na pili pili.
Sasa anaejitoa fahamu ni nani kati ya mimi na wewe?

Kwanza swali la kwanza hujajibu umerukia swali la pili..

Na hiyo swali la pili hujaongelea kuhusu viungo uliowasema hapo mwanzo, umeongelea huyo CB tu.. Vipi kuhusu viungo?

Toa maelezo yaliyokamilika, usiruke ruke tu!
 
Kuna mvaa blauz mmoja anajiita Papaa GX huyu swaini nimejaribu kumsachi kwenye comments zote zilizo postiwa leo sija bahatika kusoma hata comment yake moja. Inamaana yeye sio shabiki wa Chele sii ama vipi?
Au yeye ni mpaka ishinde ndio aje na blauz yake iliyo jaa maziwa makumbwa utadhani ana nyonyesha?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom