DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,878
huyo jamaa ni wa kumuacha tu kwa sasa maana dah,anajiaibisha tu mbele ya kadamnasi,jitu linamparamia mwenzake kama mieleka
kwani vipi mkuu?mbona kama povu kali sana hili!!!!!!!!Unaandika pumba mno leo ngoja nikurekebishe wewe mzee wa Arse8. Timu iliyopanda daraja imepata goli 3 kwa Liver na timu iliyokuwepo ligi kuu imeshindwa kupata kwa maelezo yako Leeds ni bora kuliko Chelsea? Nawewe unasimama mbele ya wanaume unakaza msuli wa matako unaongea huu utumbo? [emoji23][emoji23][emoji23]
Dogo kila game approach zinatofautiana. Mimi nikicheza na wewe sivyo nitakavyo cheza na nyumbu au Man city. Liver wamekuja kupata goli baada sisi kupunguzwa, pia kipa wetu ni moja kati ya watumishi hewa EPL ndipo Liver walipofanikiwa hapo.
Lakini siyo mbaya utakuwa ume revenge kwasababu hata sisi tumewahi kukupiga 6-0,sijui unakumbuka.Ninyi Ng'ombe mliambiwa mnasajili Matakataka hamkusikia..... Siku mkikutana na mimi kile kipigo nilichowapa Fainali ya FA nitazidisha mara3. Mnakula goli 6 ili walau nusu ya timu igawane goli moja moja .
We kweli pweza boy na hyo nafac inayowapa kiburi mtakuja kuisahau kuanzia wiki ijayo....maana hzo fixture za mwez wa 10 ngoja tusiongee sana.....na kwa kiwango kile na west ham mzigo ulikuwa unalala ile ngoja Tutaona mengiNinyi Ng'ombe mliambiwa mnasajili Matakataka hamkusikia..... Siku mkikutana na mimi kile kipigo nilichowapa Fainali ya FA nitazidisha mara3. Mnakula goli 6 ili walau nusu ya timu igawane goli moja moja .
Silva ni wa muda na kapewa mkataba wa mwaka mmoja, hata akiongezewa sio wa kumtegemea, hapo tumemsajili kwa sababu ya uzo wake tu ili awaaambukize hawa wadogo kama akina Tomori,acha kujitoa ufahamu nduguUnataka kusema kuwa hamkuingia uwanjani kwa lengo la kushinda?
Kwahiyo bado mnataka msajili CB na viungo msimu ujao, msimu huu wale msiowasajili sio wazuri tena?
Tunataka majibu ya haya maswali!
Arsenal haijawahi kuwa nzuri, kesho tu wataanza kukata moto, tuko hapa wote tutashuhudiaMkuu Arsenal ana timu nzuri sana msimu huu kuliko Man u, Spurs, nawaona Top 4 kabisa.
Labda mje mkate moto huko mbele kama kawaida yenu tofaut na hapo mko poa
Sasa anaejitoa fahamu ni nani kati ya mimi na wewe?Silva ni wa muda na kapewa mkataba wa mwaka mmoja, hata akiongezewa sio wa kumtegemea, hapo tumemsajili kwa sababu ya uzo wake tu ili awaaambukize hawa wadogo kama akina Tomori,acha kujitoa ufahamu ndugu
Wewe nani nikupe maelezo, NOBODYSasa anaejitoa fahamu ni nani kati ya mimi na wewe?
Kwanza swali la kwanza hujajibu umerukia swali la pili..
Na hiyo swali la pili hujaongelea kuhusu viungo uliowasema hapo mwanzo, umeongelea huyo CB tu.. Vipi kuhusu viungo?
Toa maelezo yaliyokamilika, usiruke ruke tu!
Chelsea jana tulicheza vizuri zaidi ya ule mchezo na Brighton
Mabeki wetu sasa wanajua kukaba, naona Zouma, Christansen na hata Tomori alipoingia waliwadhi9biti vizuri Liverpool hasa Salala alidhibitiwa vizuri na Alonso
Kepa naona yuko kwenye stress na ndio maana bado anafanya makosa yale madogo ambayo gharama yake kubwa sana
Bahati mbaya red card jana ilitibua mikakati ya kuifunga Liverpool
Mpaka jana ile ndunguri ya Jorginho haikufanya kazi kwenye penalti
We fikiria tulivyocheza vizuri halafu kusiwepoo tena na majeruhi
Halafu line up iwe hivi
-----------------------------------------------Werner-----------------------------------------------Ongeza wamecheza pamooja wamezoeana, wametengeneza chemistry kali
Pulisic -------------------------------------Havertz -------------------------------------Ziyech
Kovacic ------------------------------------- Kante
Benchilwell --------------------- Zouma --------------------- Silva ------------------James
-------------------------------------------Edouard Mendy-------------------------------------------
Watatoboa hao wanaopiga nduru
Naona umesha press panic button[emoji1]Wewe nani nikupe maelezo, NOBODY
ina maana wewe ulishasahau hao Westham walikufanya nini?sasa tumekupiga wewe na huyo mbabe wako WesthamWe kweli pweza boy na hyo nafac inayowapa kiburi mtakuja kuisahau kuanzia wiki ijayo....maana hzo fixture za mwez wa 10 ngoja tusiongee sana.....na kwa kiwango kile na west ham mzigo ulikuwa unalala ile ngoja Tutaona mengi
Hakuna kitu kama hicho.Thiago amecomplete pasi nyingi kuliko kikosi kizima cha chelsea ndani ya dakika 45 midfielder maestroo hatar huyu mtuu