Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ndugu yenu ollachuga ameonekana mbagala kwa mangaya na boksa tu mwili umechooka sana

Tumeni nauli tumrudishe huko darajani
 
Wana chelsea wenzangu hatuna hata cha kujifariji
Kwani tulikuwa na lengo la kumfunga Liva?
Hata hivyo tulicheza vizuri, wachezaji 10 halafu wakatubahatisha 2 tu!!
Tukiisha zoeana, wote tukawa wazima, wataisoma namba, hata kama ubingwa hatushindanii ila mpira tutaucheza
Msimu ujao wa 2021/22 tukikamilisha usajili wa viungo na CB, UBINGWA ni wetu mwanzoni mwa ligi

Unataka kusema kuwa hamkuingia uwanjani kwa lengo la kushinda?

Kwahiyo bado mnataka msajili CB na viungo msimu ujao, msimu huu wale msiowasajili sio wazuri tena?

Tunataka majibu ya haya maswali!
 
Kuna watu humu sitegemei kuwaona leo.
Mtu kama Orrachuga & Papaa Gx mukiwaona nishtueni.
 
Chelsea acheni Utani mna timu nzuri lkn kocha atawaharibia akiendelea kuwapanga hawa.

1.Kepa hafai bora Cabalero... Mfano goli la (2) anajisahau timu iko nyuma yeye analeta utoto golini na sio mara ya kwanza... Dirisha la usajili bado liko wazi TOENI UCHAFU HUU UKAFIE MBELE.

2.Kai Havartz hajawa na muunganiko mzuri, hana stamina, sio fighter, hakabi wala hapandishi timu... Amuache nje kwanza, Ampe nafasi TAMMY ABRAHAM huku akingoja ZIYECH awe fiti.

3. Yule beki aliyepigwa redi jana (jina gumu kidogo) waku yule hata KMC ya Kinondoni hapati nafasi,.. Weka TOMORI dogo anakaba hadi MATE ya Striker ana uwezo mkubwa.

4. REECE JAMES yuko poa sana ila kama atakuwa anapangwa na hawa akina KAI usitegemee kama atapanda kupiga krosi tofauti na hapo amtumie AZPILICUETA tu.


Poleni kwa msiba.
 
Ninyi Ng'ombe mliambiwa mnasajili Matakataka hamkusikia..... Siku mkikutana na mimi kile kipigo nilichowapa Fainali ya FA nitazidisha mara3. Mnakula goli 6 ili walau nusu ya timu igawane goli moja moja .
 
Unaandika pumba mno leo ngoja nikurekebishe wewe mzee wa Arse8. Timu iliyopanda daraja imepata goli 3 kwa Liver na timu iliyokuwepo ligi kuu imeshindwa kupata kwa maelezo yako Leeds ni bora kuliko Chelsea? Nawewe unasimama mbele ya wanaume unakaza msuli wa matako unaongea huu utumbo? [emoji23][emoji23][emoji23]

Dogo kila game approach zinatofautiana. Mimi nikicheza na wewe sivyo nitakavyo cheza na nyumbu au Man city. Liver wamekuja kupata goli baada sisi kupunguzwa, pia kipa wetu ni moja kati ya watumishi hewa EPL ndipo Liver walipofanikiwa hapo.


Unaona hizi pumba kwakua wewe ni kuku
 
Wana chelsea wenzangu hatuna hata cha kujifariji
Kwani tulikuwa na lengo la kumfunga Liva?
Hata hivyo tulicheza vizuri, wachezaji 10 halafu wakatubahatisha 2 tu!!
Tukiisha zoeana, wote tukawa wazima, wataisoma namba, hata kama ubingwa hatushindanii ila mpira tutaucheza
Msimu ujao wa 2021/22 tukikamilisha usajili wa viungo na CB, UBINGWA ni wetu mwanzoni mwa ligi
Mkisajili na kocha pia ubingwa ni wenu[emoji1787]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom