Hahaaakuna lijimbo la taifa huko wasafi wamelitoa linaitwa chelwowowo
kinaimbwa hivi
Azipulikueta wowowoooooooo
kante kijeba wowowoooooo
vipi ka - Kai weeh kinabamba Ngongingoooooooo
jina lenu jipya ni Chelngongingo









turudi kwenye uhalisia wa soka sasa,Wewe bado siku chache utakuwa kichaa, hauko sawa kwenye akili yako. Wasipokupeleka milembe ndugu zako watakupoteza
Werner eti anasema mabeki wa Brighton ni Magiantturudi kwenye uhalisia wa soka sasa,
Tunapowaambiaga kuwa usajili wa wachezaji wapya hasa wale wanaotoka ligi za nchi nyingine unahitaji uvumilivu ndio tunakuwa na maana hii sasa,wachezaji mliosajili sio kwamba ni wabaya kwa huko walipotoka ni wazuri tena sana tu,ila wanapoelekea katika ligi mpya ni KAMALI,na hatutaangalia RB alifanya nini?au Liverkusen alifanya nini bali tunaangalia Chelsea kakifanya nini?mpira ni mchezo wa hadharani na jana kila mtu kaona kuwa yule Havert ni bora ya Guendouz na yule Werner ni Batshuay mzungu,
tunawananga kwasababu nyie ndio mlikuwa mnampiga mawe NICOLAS PEPE kuwa ni flop
hamkujua kuwa alikuja katika ligi ngeni?
mazingira mageni?
tamaduni ngeni?
team mates wageni?
kocha/mwalimu mgeni?
mashabiki wageni?
hakuwa pre-season na timu?
muwe wavumilivu kwa performance ya wachezaji wenu uwanjani,pia muwe wavumilivu kwa kelele zetu, ila hawa wajerumani hawatoboi kudadadeki
NB:ukikereka ndio raha yangu mkuu,



Wana Liverpool next week , sijui kama watatoboana lile goli la penati ndio lililowavunja nguvu wanangu wa brighton ila sio kesi wanangu sheffield watafanya yao hahahhahhahaha maana cheltyako wana mzio na timu zote zenye united mbele
NB:hata LEEDS nayo ni UNITED





akikutana na Wes Morgan na kina Vestergaard atagoma kuingia uwanjani huyu Batshuay mweupeWerner eti anasema mabeki wa Brighton ni Magiant
Hajawahi kuwaona kabisa
Hahaaaaa
Hii ndio EPL ,halafu yule Kai ni kama Ozil tu, sasa wasije kushangaa anafiti mfumo mmoja tu kwenye hii EPL ,
Lasivyo akikutana na pressing za hatari , atakuwa kama Lingard tu.
Walimponda sana Pepe hawa , lkn jamaa alipambana hivo hivo kwenye mazingira magumu,
Kazi kupitisha chuchu zao huku mwanzo mwisho...jukwaa lao limepoa
Ilitakiwa leo giroud acheze na Timo Werner nyuma yao awe Kai havertz formation aliyoanza nayo Lampard ilikuwa ya ovyo ndio maana ukuona ubora wa havertz
Ilitakiwa leo giroud acheze na Timo Werner nyuma yao awe Kai havertz formation aliyoanza nayo Lampard ilikuwa ya ovyo ndio maana ukuona ubora wa havertz
Pazia jingine hilo mnaleta#bluesonly#issue ya Mendy imefikia wapi maana Kepa anaendeleza record ya kufungwa magoli yanayozuilika
Akili huna wewe nyie sindo mlisemaga jamaa anacheza nafasi zoteWe jamaa ni Bomu la mbagala. Utamjudge vipi mchezaji kwa mechi ya kwanza? Tena amechezeshwa nafasi sio yake?
Wachezaji hawako fit wamekosa pre- season, wanaendelea kupata momentum ya kurudi kwenye utimamu wao na kuzoeana uwanjani (wenyeji na wageni).
Sawa najua muda mwingine akili yako inacheza kama kifaa cha voltmeter embu muda mwingine ijaribu kuituliza kidogo ureason mambo.
wanajisahaulisha na kukakamaza mafuvu 😂 😂 😂 😂 😂 😂Akili huna wewe nyie sindo mlisemaga jamaa anacheza nafasi zote
Hayana akili hayo yamepigwawanajisahaulisha na kukakamaza mafuvu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
bora tungembakisha huyu kuliko WernrBatshuayi amekamilieha uhamisho wa mkopo kwenda Crystal PalaceView attachment 1565766