Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

hii timu yangu ya chelsea nilivyoona wanasajili nikajua kuwa tutakuja kuwashika sana ila kwa nilichokiona jana itabidi tuandae marundo ya diclopa na panadol kila mechi,kwanza ukiona mchezaji wa kijerumani Bayern Munchen hawamtaki na wala hawana shobo nae inabidi ujifikirie kwa makini kabla ya kumnunua,nina imani na ziyech ila hawa wajerumani wawili tumepigwa kweupeeeeeeeeeeeeeee maana hata huyu werner klopp alimtaka ili awe backup ya filmino na sio chaguo la kwanza kwasababu aliona kuwa hana sifa ya kuanza katika kikosi chochote cha epl ila sis tunampanga aanze,kocha wetu nae ndio haeleweki kabisa
 
wewe sasa ndio shabiki real wa chelngongingo maana hupindishi
 
kweli,ila wanakera
ukikereka unaenda google unachek head to head vs Arsenal, ukimaliza unagoogle tena head to head vs Liverpool ukimaliza unagoogle tena head to head vs Man utd ukimaliza unagoogle tena head to head vs shelffied hahahahaha
 
1600175781890.png
1600175870183.png
Mbingu na ardhi
 
Arse8 wana shobokweli kenye Uzi wetu sijui ndo tayari kama wanawashwa washwa ivi
 
1600176595400.png

uwanja wa westham,
1600176893514.png
uwanja wa spurs
1600177063180.png
1600177240082.png
kibakuli cha chelsea,munastahili kutimuliwa hapo London munachafua mandhari adhimu ya jiji na hiyo takataka
1600177381162.png
watazamaji soka wamepangiwa mabenchi kama wapo mwananyamala hospitali,aaaaaaaaghhhhh sasa haka kakiwanja na ule wa gwambina au azam complex si sawa tu,alafu munataka ukubwa.....mpambane, rubbish
 
Attachments

  • 1600176696841.png
    1600176696841.png
    196.4 KB · Views: 6
hii timu yangu ya chelsea nilivyoona wanasajili nikajua kuwa tutakuja kuwashika sana ila kwa nilichokiona jana itabidi tuandae marundo ya diclopa na panadol kila mechi,kwanza ukiona mchezaji wa kijerumani Bayern Munchen hawamtaki na wala hawana shobo nae inabidi ujifikirie kwa makini kabla ya kumnunua,nina imani na ziyech ila hawa wajerumani wawili tumepigwa kweupeeeeeeeeeeeeeee maana hata huyu werner klopp alimtaka ili awe backup ya filmino na sio chaguo la kwanza kwasababu aliona kuwa hana sifa ya kuanza katika kikosi chochote cha epl ila sis tunampanga aanze,kocha wetu nae ndio haeleweki kabisa
Sikubaliani na ww ....huyu Werner alikuwa anahusishwa na Bayern ila mchezaji mwenyewe aliwahi kuhojiwa akasema hawezi kuichezea Bayern kutokana na rivalry dhidi ya Bayern....kumbuka Marco reus naye aliwahi kuhusishwa na Bayern na akaigomea Dortmund ni bora wamuuze timu nyingine lkn sio Bayern Munich...yaan KWA takwimu zake misimu 3 ana hit double figures za magoli afu Bayern wasimtake kweli?....kuhusu kai havertz mbona Bayern nao walikuwa wanamhitaji ila walipofanikisha dili LA sane wakajiondoa na wakabaki Chelsea kwenye dili hilo...na wakawa wanasubiri wamchukue akifika mwsho Wa mkataba wake na Leverkusen KWA kitonga endapo isingetokea timu yoyote iliyomchukua.....na mwsho namalizia pundits km kina Gary Neville pmj na mchambuzi mmoja Wa skysports wanaimani KWA jinsi Werner alivyocheza Jana wanaimani anaweza kuhit double figures za magoli kama alivyokuwa bundesliga na hao wamecheza soka professional level huko sasa wewe upo mtaa Wa kachamba nani hapo newala mtwara hata kukimbia kipengele unasema Werner ni batshuayi mweupe...!!!?...na pulisic alivyoanza ligi KWA kusuasua msimu uliopita cpati picha ulikuwa unamwitaje
 
UNITED signed Bruno on 30th January

He trained on the 31st January

Played Wolverhampton wanderers on 1st February and won the man of the match

But German kai havertz has trained for almost a week now and dropped a disaster class against Brighton but still needs time to adjust to the league

We taahira, kichwa box acha shobo utapelekwa GESTI.
1600177966666.png
London is Red, tulia wewe kiazi,kuna ground ipo empty haitumiki ipo pale pembeni kama vipi tuwaazime mchezee mechi ule uwanja wenu unatia aibu London,maana sehemu nyingine una vipara,na washabiki wanakaa kwenye mabenchi,
munatuaibisha
 
We jamaa ni Bomu la mbagala. Utamjudge vipi mchezaji kwa mechi ya kwanza? Tena amechezeshwa nafasi sio yake?

Wachezaji hawako fit wamekosa pre- season, wanaendelea kupata momentum ya kurudi kwenye utimamu wao na kuzoeana uwanjani (wenyeji na wageni).

Sawa najua muda mwingine akili yako inacheza kama kifaa cha voltmeter embu muda mwingine ijaribu kuituliza kidogo ureason mambo.
UNITED signed Bruno on 30th January

He trained on the 31st January

Played Wolverhampton wanderers on 1st February and won the man of the match

But German kai havertz has trained for almost a week now and dropped a disaster class against Brighton but still needs time to adjust to the league

We jamaa ni Bomu la mbagala. Utamjudge vipi mchezaji kwa mechi ya kwanza? Tena amechezeshwa nafasi sio yake?

Wachezaji hawako fit wamekosa pre- season, wanaendelea kupata momentum ya kurudi kwenye utimamu wao na kuzoeana uwanjani (wenyeji na wageni).

Sawa najua muda mwingine akili yako inacheza kama kifaa cha voltmeter embu muda mwingine ijaribu kuituliza kidogo ureason mambo.
Huyo kai mnaweza mkawa mmepigwa mchana peupe. Nimemuona akicheza, kama akiendelea vile, bakayoko part 2.
 
Ama kweli, ubora wa pulisic unazidi ubora wa wachezaji wote wa timu.
 
Acha hizo wewe , subiri kama.msimu huu watapata hata point 1

Unaongelea msimu ulioisha chini ya unai,

Mech ya pili tukawa na majeruhi ,tena after Corona
Huyo jamaa waga ana mihemuko sana,akili yake huwa haifanyi kazi sawa sawa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom