Kai hawazi [emoji23][emoji23][emoji23]Huyu hawazi hii ligi hatoiweza.
Yuko kama demu bhana!!
Haya matakataka ya arsenal yamejaza huku yanataka nini?
Three points banked3 points ila mengine ni TAKATAKA
Jitoe akiliKaravati hawezi muweka benchi odoi
Kazi kupitisha chuchu zao huku mwanzo mwisho...jukwaa lao limepoaMkuu nimewauliza maswali hapo juu nasubiri wajibu🤪🤪