Batshuay anaelekea crystal palace kwa mkopo,Ina maana BARKELY, BATSHUAYI, ERMASON bado tutakuwa nao msimu mpya?
Ngolo hawezi ondokaManchester United have entered the race for N'Golo Kane and could pay Chelsea's £54m asking price for the midfielder.
Tuttosport claim the Red Devils are rivalling Inter Milan for France ace Kante, who struggled at times last season.
He could choose to leave Stamford Bridge if the Blues sign Declan Rice, and Man United have joined Inter in wanting Kante.
Inter are worried by United's interest as the Red Devils can easily pay Chelsea's asking price to sign him.
Aziplicueta simuon
lembu Chelsea itakuwa imefanya biashara kichaa kama watamuuza kante alafu watamnunua rice labda Kama watamuuza jorginho alafu watamnunua Rice hapo nitawaelewa.Eti Kante aondoke kwa mil 54 si bora wangewauza hawa
Jumla Mil 78
- Barkley mil. 20
- Emerson mil. 25 Inter wametoa hii)
- Batshuayi mil 15
- Moses mil 5
- Drinkwater Mil 3
- Zapacosta Mil. 10
- Tunamnunua Declan Rice Mil 50
- Mendy Mil 25
- Tunabakiwa na chenchi ya Mil 3
Aziplicueta simuon
kashakubl kuongeza mkataba mwak mmojMkuu soko la wachezaji nowdays limebadilika. Club zinajiuliza maswali kwenye manunuzi kama kuna haja gani ya kumnunua mchezaji aliyebakiza mkataba wa mwaka mmoja wakati dirisha lijalo anapatikana bure?
Labda biashara itafanyika kwa mchezaji moto na ambaye amebakiza mwaka mmoja na amekataa kuongeza mkataba.
Namuona Batshuayi akiondoka bure baada ya kutumikia mkopo wake mwaka mmoja.
Yawezekana kwenda kwake Crystal Palace ikahimarisha kiwango chake so club nyingine ikaonesha nia kumuhitaji na hapo ndipo biashara itakapofanyika.Mkuu soko la wachezaji nowdays limebadilika. Club zinajiuliza maswali kwenye manunuzi kama kuna haja gani ya kumnunua mchezaji aliyebakiza mkataba wa mwaka mmoja wakati dirisha lijalo anapatikana bure?
Labda biashara itafanyika kwa mchezaji moto na ambaye amebakiza mwaka mmoja na amekataa kuongeza mkataba.
Namuona Batshuayi akiondoka bure baada ya kutumikia mkopo wake mwaka mmoja.
Nadhani mikataba mingi ya wachezaji wa mkopo huwa haikosi hiyo optionmkataba wa Mkopo kwa palace uwe na kile kipengele cha with an option to buy permanently