Habari wana bluez wenzangu..
Nilioyaona jana.
Timu iko vizuri, sema tu fitness bado haijafikia ile inayotakiwa(siku zote gemu za mwanzo hua na shida sana)..
RLC jana alizingua sana inatakiwa akajipange hasa.
Havertz nae jana hakucheza vizuri , nadhani ugeni wa ligi na pia kuna kitu kitakua kinamtesa(matarajio.makubwa kwa epl kwake), price tag yake na sifa alizopewa ndio zitakazomtesa kwasasa.. Ila naamini ni mchezaji mzuri na atakua form muda sio mrefu.
All and all,, nimefurahi kitu kimoja tumeshinda japo hatukucheza vizuri (Na hivi ndo timu bingwa zinavocheza) hata kama hawajaji"commit 100% matokeo yanapatikana..
Sipati picha tukiwa on form nahisi vichapo vitakua vikali sana
Sent from my TECNO CX Air using
JamiiForums mobile app