Asante2nd goal. ReeceView attachment 1570119
Ilitakiwa leo giroud acheze na Timo Werner nyuma yao awe Kai havertz formation aliyoanza nayo Lampard ilikuwa ya ovyo ndio maana ukuona ubora wa havertzLampard leo hakupanga kikosi cha ushindi, hasa kwa kumuweka RLC na Jorginho
Kwangu man of the match ni Zouma, bado anaedneleza consistency ya kucheza vizuri
Werner kaanza vizuri hata kama hakufunga lakini alikuwa threat na pia katupatia penalti
Kai mwanzo wake mgumu, leo naona dogo katalii tu
RLC anavuta miguu kama vile anaumwa funza miguu yote,
Ni9ngekuwa mimi leo ningepanga timu hivi
Werner --------- ------------ Havertz
Nimekupandisha kiwango cha 3 bora kwa uchawi duniani kote Shabiki uchwara wa Arsenal FCKubwa jinga linakufa leo.
Yani chelshishi leo mkipata matokeo mazuri basi sare!
Lakini hii game hamtoki.
Haverrtz nafasi anayocheza ni CAM na siyo Winger ndio maana kapata shida mechi ya kwanza.Lampard leo hakupanga kikosi cha ushindi, hasa kwa kumuweka RLC na Jorginho
Kwangu man of the match ni Zouma, bado anaedneleza consistency ya kucheza vizuri
Werner kaanza vizuri hata kama hakufunga lakini alikuwa threat na pia katupatia penalti
Kai mwanzo wake mgumu, leo naona dogo katalii tu
RLC anavuta miguu kama vile anaumwa funza miguu yote,
Ningekuwa mimi leo ningepanga timu hivi
Giroud
Werner --------- Mount ---------- Havertz
Kante ------- Jorginho
Alonso ----- Zouma ---- Christensen ----- James
Caballero
Mkuu sio nafasi ndio iliyomfanya acheze hivyo, huyo dogo anacheza mpaka striker vizuri tu, bado mgeniHaverrtz nafasi anayocheza ni CAM na siyo Winger ndio maana kapata shida mechi ya kwanza.
Hata kama ingekuwa hivi bado angeflop leo mpaka azoee mazingira haya itamchukua mechi kama 2 au 3 tena timu ikiwa iko full swingHaverrtz nafasi anayocheza ni CAM na siyo Winger ndio maana kapata shida mechi ya kwanza.
Hivi we ni Ke au Me?Wazee mmeibiwa pale kwa harvertz [emoji23][emoji23]
Huwez kumpima kwa mechi moja then namba anayocheza wala si yake yule na namba 10Huyu Kai harvertz tumeibiwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata Kante anafsi anayocheza sasa siyo ile natural. So Havertz anahitajika acheze nafasi inayomtambulisha.Mkuu sio nafasi ndio iliyomfanya acheze hivyo, huyo dogo anacheza mpaka striker vizuri tu, bado mgeni
Hata mimi niliona hivyo badala ya kumchezesha RLC, Groud angecheza striker na werner nafasi ya pulisicIlitakiwa leo giroud acheze na Timo Werner nyuma yao awe Kai havertz formation aliyoanza nayo Lampard ilikuwa ya ovyo ndio maana ukuona ubora wa havertz
Wakati wa Sarri alicheza vizuri msijifanye hamna macho au masikio kisa tu humpendi. Sababu iliyosababisha akapewa mkataba wa miaka 5 na alikuwa asepe ni hiyo kucheza vizuri japo alikuwa bado kufikia world class level. Baada ya majeruhi huyu RLC kashindwa kurudi kwenye form, basi tena, hakuna namna asote benchi tu asubiri mechi za CarabaoHuwa tukiwambia wanatuona sisi hamna kitu.
Mkuu wewe una mihemko kupita kiasi. Jambo kidogo ushaanza kulalalama na blah blah kibao. Kama wakina Pulisic na Ziyech wangekuwepo hapo wote tungeshangaa kuwaanza Kai na Mount kama wings.Kai Havertz and Mason Mount are not wingers, full stop.
Lampard bado no tatizo ndani ya klabu yetu mpaka leo hajajua namna ya kupanga kikosi.
Mkuu kipindi cha Sarri Ruben alikua on form sana labda kama mlikua hamfuatilii EL sema majeraha ya muda mrefu yamemuondoa kwenye reli.Huwa tukiwambia wanatuona sisi hamna kitu.