Achana naoHivi huu uzi ni wa Arsenal au nimepotea njia
hhahahahahahah aiseeeeeeeeehhhhh yaani mpaka muda huu bado hujatambua walichowafanyia Bayerlivekursen?dah yaani na hili nalo linahitaji mivyeti ya chuo kikuu!!!!!!watoto wa mjini tunasema hapo mshapigwa sindano ya nyama hahahahah mchana kweupeeeeeeeeeeeeeeeeee peeeeeeeeeeeNdugu matatizo ya Kepa tunaijua na dawa yake tunaijua
Havertz anahitaji tu warm up ili azoee ligi
mnavyokuja kujaza mashudu yenu kule mnakuwaga mnafikiri ule ni uzi wa Chelsea?Hivi huu uzi ni wa Arsenal au nimepotea njia
kwahiyo mkuu ndio unatufukuza?basi tusione mbarara ya chelsea kule katika uzi wa mabingwa wa jumla wa England kwasasa,Kwani tukipigwa wewe unateseka sana? mbona washabiki wa Arsenal mnaumia sana na wachezaji wapya wa Chelsea ilihali mna uzi wenu wa kujadili mambo ya Arsenal?
wewe ni takataka na wachezaji wapya wa chelsea ni mavi'.Kabisa ukimya ni hekima ya juu sana kuliko kuendelea kujibiza na hilo li Gpili na matahira wengine wa Arsenal
mkuu tumaini lenu la mwisho kwa sasa limebaki kwa Hakeem, ila hao wengine tushawaona jana kuwa ni kina Linghadinho wa kijerumani,Najaribu kufuta picha hapo mbeleni kikosi kinashuka dimbani kimetimia wachezaji wote Pulisic, Werner, Ziyech, Harvetz, Kante, Kovacic, Chilwell, Zouma, Thiago, James.
Chelsea kwa sasa tuna great great players, tunatakiwa tujivunie sana chama letu. Tulisupport kwa nguvu zote.
Wapinzani wetu kwa sasa wanajiona wako jehanam sisi tupo paradiso tunawaangalia kwa mbaliliii, wivu wao umewajaa.
Huo mziki mtu unatokaje kwa mfano...Najaribu kufuta picha hapo mbeleni kikosi kinashuka dimbani kimetimia wachezaji wote Pulisic, Werner, Ziyech, Harvetz, Kante, Kovacic, Chilwell, Zouma, Thiago, James.
Chelsea kwa sasa tuna great great players, tunatakiwa tujivunie sana chama letu. Tulisupport kwa nguvu zote.
Wapinzani wetu kwa sasa wanajiona wako jehanam sisi tupo paradiso tunawaangalia kwa mbaliliii, wivu wao umewajaa.
wamepigwa kweupeeeeeeeeeeeeeeeee peeeeeeeeeWakuu kuna maneno huko mitaani kuwa mmepigwa, vipi ni kweli au mnakula mtori nyama mtazikuta chini
pale unapotoka kupiga chimpumu alafu huna cha kupost,😂😂😂 cheltyako muwage na aibu sasa wababe zako wote wawe na alama hizo alafu wewe ngumbaru ndio uwazidi hahahahahah,hivi vituko vinapatikana hapa tu Shumizi FCHiki ndicho kinawaumiza Arsenyeto. Hawataki kukubaliView attachment 1570456
Endeleeni kukera, bado muda kidogo mtatupa utamu wenyewetunawakeeeeeeraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
na kuwakeraaaaaaaa ndio jadi yetu ,sababu nyinyi ni vibonde wetu,
acha tuwakereeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ndio mjikaze mpunguze ile gap ya head to head na mataji,
la sivyo tutazidi kuwakeraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
kuna lijimbo la taifa huko wasafi wamelitoa linaitwa chelwowowoKwan HUYU MAVI YA BUNDI CJUI ANAJIITA DURRY CJI DULA DONGO TIMU YAKE HAIJUI MBWA KOKO KWA TIMU YAKE HAIJUI ARSENYETO???
aliyepokea pesa katoa cheni ya bandia
Wewe bado siku chache utakuwa kichaa, hauko sawa kwenye akili yako. Wasipokupeleka milembe ndugu zako watakupotezakuna lijimbo la taifa huko wasafi wamelitoa linaitwa chelwowowo
kinaimbwa hivi
Azipulikueta wowowoooooooo
kante kijeba wowowoooooo
vipi ka - Kai weeh kinabamba Ngongingoooooooo
jina lenu jipya ni Chelngongingo
washangiliaji wa hiki kikundi cha wauza blauz ,shumizi fc chelngongingo kuna nati zimelegea kichwani😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Chelsea fans: ‘Havertz is so versatile- he can play 8,10,rw,ss.
Kai Havertz plays as a RW and drops a disasterclass...
Chelsea fans: ‘He’s being played in the wrong position’
![]()