Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wapiga ramli mshafika. Badala mtushabikie sisi kaka zenu tuwalipie kisasi leo baada ya kuwabomoa msimu uliopita mnashabikia upande mbovu. Blue is the color
Kwani wewe ulivyobomolewa na sheffield, west ham, newcastle, united nani lliyekulipia kisasi kama si sisi wakubwa zenu, muwe na adabu,
 
Nilichokiona jana kwa
Chelsea MATEO KOVACIC ndio Engine ya Midfield ya Chelsea kwa sasa.
Yule Loftus Cheek hakuna mchezaji pale.
Kai Lampard amchezeshe kama CAM akiendelea kumchezesha kama Wing anatakuwa Lord Lingard soon.
 
Nyie Chelsea kwa butua butua yenu hii ndo mna mpango nanyie kuchukua EPL au mna mpango wa kusindikiza?? Sio kwa msako ule mlio sakiwa halafu mwambie yule bishoo wenu Kai kuwa hapa ni EPL sio Bundasliga, hawezi kucheza mpira wa soft vile... Halafu yule dogo wa Brighton aliye kuwa anacheza kama mlinzi wa kulia anaitwa Lamptey ningekuwa na Dada ningempa yule dogo ni zaidi ya kimbunga kwangu mimi ndiye Man Of The Match.. ukiachilia mbali matokeo ya timu yake.
Kuhusu Keppa tutamjadili kesho
Kuanzia herufi ya kwanza sijui unaongea nini??? Unaumwa subiri upone uongee tukuelewe
 
Nikisema hapa huyu Loftus Kuku hafai kuichezea Chelsea kuna watu wanatoka na kulalama eti apewe muda, sasa huyu kuku apewe muda mara ngapi.!?? Ameisha huyu kuku ona sasa anachofanya uwanjani
Hao mlionunua ni mikojo tu, mavi matupu
 
Hapo waliokosekana ni kovacis na Pulisic , hao wengine usiwahesabie hawana tofauti na walioanza

Hao Brighton tutawapiga nyingi sana ,

Wasije wakadhan kocha ni tapeli emery ,
Yaan mlivyomtimua emery mechi ya kwanza mkacheza nao chini ya Yule msimamiz Wa mazoezi mkala kiminyo.....2 nd leg KOCHA wenu arteta mkala kiminyo kama kawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom