Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ubao unasoma ngapi? Tuanzie hapo kwanza kama ulibeti ada imekula kwako pole sana
Haya mmeshinda mechi ya kwanza.. Sio mbaya kwa timu yenu kama ile, maana sioni kama mtamfunga mkubwa yeyote msimu huu kwa mpira ule.

Chukueni hizi akili, ili baadae mpunguze machungu kama yakitokea.

1. Nimecheki game yenu ya kwanza mpaka mwisho. Kiufupi timu yenu ni ile ile. Yani pamoja na sajili mlizofanya bado hamna kitu.

2. Lile Karavati kuuziwa £72m mmepigwa nje nje! Yule msijipe moyo kuwa atazoea ligi.
Mchezaji wa EPL anakuaje nyonde nyonde vile?!

3. Lampard akiendelea na uchezaji huu, hamalizi msimu bila ya kufukuzwa.
Na ili mbadilike uchezaji ni lazima msajili na kocha.. La sivyo atawachelewesha.

4. Game inayofuata na Liverpool msijipe moyo.. Hiyo mnakufa tu!

Naona baada ya kuwataja Liva kuna watu wameshashtuka tayari

Huo ndio uhalisia bhana! Hauwezi kuuepuka.

LONDON IS RED!
 
Timo Werner on EPL Compared to Bundesliga

"I played against three massive defenders, you don't have that in Germany. I'm happy to be here and I think it was a good first game for me and the team.

"We had a lot of players not in the rhythm now but I think we will get better and better when we play more games together."
 
Nilichoona kwa Kai Havertz jana akishika mpira wachezaji watatu wamemzunguka na kumnyang'anya mpira tofauti na kule kwao unakaa na mpira na kutamba nao. EPL kila timu sasa hivi wanapress sana na kama hauko energetic itakula kwako. Kwa hiyo Kai anatakiwa kuadjust kwenye hilo kama mwenzake Timo alikuwa sharp na mobile kila wakati
 
Kurt Zouma alikuwa ni underrated Defender lakini amegeuka kuwa tegemeo kwa Chelsea kwa sasa
Zouma is very far better than Maguire wa Manyumbu United
1600138722478.png
 
Mchezo wa jana ni mechi ya tatu kuanza ligi jumatatu na kushinda
Katika awamu zilizopita zote mbili (14/15 & 16/17) tulibeba kombe la EPL
Mwaka huu ni yetu
 
Pamoja na kwamba hakucheza vizuri sana lakini Barkley alibadili mpira baada ya yule mwenye funza mguuni kutoka
 
Tumeweza kupata point 3 bila ya hawa wachezaji
  1. Pulisic,
  2. Ziyech,
  3. Kovacic,
  4. Chilwell,
  5. Thiago Silva
  6. Azpilicueta
  7. Eduard Mendy
Na pia bila preseason ya kutosha
Je wakishakuwa fit na wachezaji wakapata warm up nzuri na wakazoeana, WATAISOMA NAMBA HAO
 
Tupo vizuri
 
Haya mmeshinda mechi ya kwanza.. Sio mbaya kwa timu yenu kama ile, maana sioni kama mtamfunga mkubwa yeyote msimu huu kwa mpira ule.

Chukueni hizi akili, ili baadae mpunguze machungu kama yakitokea.

1. Nimecheki game yenu ya kwanza mpaka mwisho. Kiufupi timu yenu ni ile ile. Yani pamoja na sajili mlizofanya bado hamna kitu.

2. Lile Karavati kuuziwa £72m mmepigwa nje nje! Yule msijipe moyo kuwa atazoea ligi.
Mchezaji wa EPL anakuaje nyonde nyonde vile?!

3. Lampard akiendelea na uchezaji huu, hamalizi msimu bila ya kufukuzwa.
Na ili mbadilike uchezaji ni lazima msajili na kocha.. La sivyo atawachelewesha.

4. Game inayofuata na Liverpool msijipe moyo.. Hiyo mnakufa tu!

Naona baada ya kuwataja Liva kuna watu wameshashtuka tayari

Huo ndio uhalisia bhana! Hauwezi kuuepuka.

LONDON IS RED!
We KWA akili yako sajili zote zilicheza Jana?
 
Pamoja na matusi yote aliyotutukana usiku huyu Ng'onda bado tuheshimu uwezo wake mdogo wa kufikiri na kuchambua mambo.

Haya mama umesikika.
 
HONGERENI SANA WANA BLUES KWA USHINDI MNONO.

Nilishindwa kuangalia mechi, ila nimeamka asubuhi fasta kusikiliza matangazo ya BBC.

Habari za michezo mtangazaji kaanza na matokeo ya sheffied utd kufungwa, kiroho kinakonga nikasikia the BLUES wameibuka na ushindi wa 3 kwa 1 nikasema Ahsante Mungu.

Nimeangalia highlights youtube nimeona kama Keppa bado hajaimprove kudaka magoli ya mbali.

Lile goli la James ni nuclear bomb.

Hongera kwa Zouma kwa goli la 3.

Nimepitia comments zenu zote. Hongereni kwa uchambuzi/mawazo

Ni Mwanzo mzuri point 3 muhimu, hope uko mbele tutaimarika zaidi na zaidi Chilwell, Ziyech, Thiago, Pulisic, Kovacic wakijoin kikosini.
Nuclear bomb au siyo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom