Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,935
- 27,196
Huyo mfuatilie vizuri nahisi uwezo wake wa kufikiri umeyumba.We KWA akili yako sajili zote zilicheza Jana?
Huyo mfuatilie vizuri nahisi uwezo wake wa kufikiri umeyumba.We KWA akili yako sajili zote zilicheza Jana?
Acha hizo wewe , subiri kama.msimu huu watapata hata point 1Kiukweli BHA wanacheza mpira sana wakikutana na timu za kinyonge lazima watawafanyia vibaya. Japo tumeshinda na watu wanalalama hatujacheza vizuri ila kabla ya yote tumtambue mpinzani tulikutana naye hakua nyoronyoro na ndio maana muda wote wametuzidi ball posession.
Hawa jamaa zetu wa Arsenal wanaumia kwa sababu wao waligongwa na hawahawa BHA msimu uliopita kwa iyo wakahisi na sisi itakua kama wao tu ndio maana baadhi yao walikuja humu kupiga ramli.
Sio kwa msako ule mlio sakiwa
halafu mwambie yule bishoo wenu Kai kuwa hapa ni EPL sio Bundasliga, hawezi kucheza mpira wa soft vile... Halafu yule dogo wa Brighton aliye kuwa anacheza kama mlinzi wa kulia anaitwa Lamptey ningekuwa na Dada ningempa
yule dogo ni zaidi ya kimbunga
kwangu mimi ndiye Man Of The Match.. ukiachilia mbali matokeo ya timu yake.



Sajiri zenu mnazotupigia kelele zimecheza JanaWe KWA akili yako sajili zote zilicheza Jana?
Huyu mend mtakuja kumkataa mtasema bora KepaKEPA kafanya save moja nzuri jana ila pia akatoa goli kizembe mno, angekuwa Mendy jana ingekuwa 3-0



Mbona unadanga sana wwHarvertz is just a German bakayoko![]()
Wewe mmepigwa na BHA Arteta akiwa kocha na vipuli vyake masikioni.Acha hizo wewe , subiri kama.msimu huu watapata hata point 1
Unaongelea msimu ulioisha chini ya unai,
Mech ya pili tukawa na majeruhi ,tena after Corona
Huyo dogo Lamptey ni zao la Academy ya Chelsea ila Jan tukamuuza kama ilivyo kwa Nketiah. Tunatoa vitu bora sana sisi.Nyie Chelsea kwa butua butua yenu hii ndo mna mpango nanyie kuchukua EPL au mna mpango wa kusindikiza??Sio kwa msako ule mlio sakiwa
halafu mwambie yule bishoo wenu Kai kuwa hapa ni EPL sio Bundasliga, hawezi kucheza mpira wa soft vile... Halafu yule dogo wa Brighton aliye kuwa anacheza kama mlinzi wa kulia anaitwa Lamptey ningekuwa na Dada ningempa
yule dogo ni zaidi ya kimbunga
kwangu mimi ndiye Man Of The Match.. ukiachilia mbali matokeo ya timu yake.
Kuhusu Keppa tutamjadili kesho![]()
Mbona huwasemi Thiago na Chilwell?Sajiri zenu mnazotupigia kelele zimecheza Jana
Timo na Kai hawakucheza?
Nimegundua unaponda kwa sababu tu umeamua huongei kimpira. Yaan TW unamfananisha na Morata? Tena yawezekana hata game ya jana hujacheckHuyu mend mtakuja kumkataa mtasema bora Kepa
Nitakuja kukukumbusha.
Kai lingard havertz atapata tabu sana,
Timo Werner hana utofauti sana na Morata
Tegemeo lenu limebaki kwa Ziyech![]()
Habari za siku dada Aaron, shemeji hajambo!Nyie Chelsea kwa butua butua yenu hii ndo mna mpango nanyie kuchukua EPL au mna mpango wa kusindikiza??Sio kwa msako ule mlio sakiwa
halafu mwambie yule bishoo wenu Kai kuwa hapa ni EPL sio Bundasliga, hawezi kucheza mpira wa soft vile... Halafu yule dogo wa Brighton aliye kuwa anacheza kama mlinzi wa kulia anaitwa Lamptey ningekuwa na Dada ningempa
yule dogo ni zaidi ya kimbunga
kwangu mimi ndiye Man Of The Match.. ukiachilia mbali matokeo ya timu yake.
Kuhusu Keppa tutamjadili kesho![]()
Tena Morata ni zaidi, au ni Morata aliyechangamkaNimegundua unaponda kwa sababu tu umeamua huongei kimpira. Yaan TW unamfananisha na Morata? Tena yawezekana hata game ya jana hujacheck
Thiago mzee kweli atawezana na kas ya EPL?Mbona huwasemi Thiago na Chilwell?



Hapo waliokosekana ni kovacis na Pulisic , hao wengine usiwahesabie hawana tofauti na walioanzaHuyo dogo Lamptey ni zao la Academy ya Chelsea ila Jan tukamuuza kama ilivyo kwa Nketiah. Tunatoa vitu bora sana sisi.
Kuhusu game ya jana kama ingekua nyie ndio mmekutana nao wale mngekua na hali ngumu sana na pale kikosi hakijakamilika Ziyech, Pulisic, Kovacic, Azpilicueta, Thiago, Chilwell na kadhalika. Tukikamilika mtapiga ramli kila wiki nyie
Nimekwambia subiri uone , Hawa sindio walimuumiza leno, huku Tukiwa na majeruhi karibu 7 ,Wewe mmepigwa na BHA Arteta akiwa kocha na vipuli vyake masikioni.
Waliwapiga mkiwa na Arteta. Wale watoyo balaa sana wanapeleka moto si mchezoHapo waliokosekana ni kovacis na Pulisic , hao wengine usiwahesabie hawana tofauti na walioanza
Hao Brighton tutawapiga nyingi sana ,
Wasije wakadhan kocha ni tapeli emery ,
Sasa Cash money Wewe hutaki ushabiki?We jamaa huwa nakuheshimu sana, nafahamu uwezo wako mkubwa wa kufikiri ila sometimes sipendagi sana kureply comment zako unazoandika utumbo naamini sio unachomaanisha bali ni mambo ya kishabiki.






Tulikuwa na majeruhi 7 na wakatuongezea kwakumuumiza Leno, hawana uwezo wa kutupiga tukiwa kamiliWaliwapiga mkiwa na Arteta. Wale watoyo balaa sana wanapeleka moto si mchezo

