John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,040
Hatuwezi jua labda hana fitness maana katoka majeruhi.....yy + pulisic kulikuwa hamna ulazima Wa kuwawaishaAzplicueta kuwa bench
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuwezi jua labda hana fitness maana katoka majeruhi.....yy + pulisic kulikuwa hamna ulazima Wa kuwawaishaAzplicueta kuwa bench
OK ngoja tusubili tuoneHatuwezi jua labda hana fitness maana katoka majeruhi.....yy + pulisic kulikuwa hamna ulazima Wa kuwawaisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara hii mmeshaanza kulalamika ndio kwanza mechi ya kwanza. Kuweni waungwana jamani.Lampard kama cjamuelewa
Kusajili kajitahidi sana lakini ubora wa kuifundisha nami sina imani naye hata kwa 50% kwa uboraLampard hafai kuifundisha Chelsea, huyu kuku wa kazi gani kwenye kikosi hichi
Nimekupandisha kiwango cha 3 bora kwa uchawi duniani kote Arsenal FanLeo ndio tunaanza kuona madudu ya Lampard na Chelsea yake mbovu..
Leo ndio nahakikisha kile kiasi cha pesa cha £72m mlichopigwa kwa Kai.
Leo ndio nahakikisha kuwa Timo ni Tamy mweupe!
Tukutane muda wa mechi!
Endelea kupiga dua hili chelsea afungweKubwa jinga linakufa leo.
Yani chelshishi leo mkipata matokeo mazuri basi sare!
Lakini hii game hamtoki.
Dah!Ahsante Chelsea[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji836][emoji837]View attachment 1568681
RLC kaanza kapewa pasi nzuri na Werner ilikuwa tu amrudishie afunge yeye kavuta miguu yake kama vile ana funzaCheek & Jognho wamefuata nini hapo kuwaletea Werner & Harvetz nuksi ya kutokufunga
usijali kwa ushindani uliopo ataenda mkopo au yatamkuta kama ya Drink waterNikisema hapa huyu Loftus Kuku hafai kuichezea Chelsea kuna watu wanatoka na kulalama eti apewe muda, sasa huyu kuku apewe muda mara ngapi.!?? Ameisha huyu kuku ona sasa anachofanya uwanjani
Jamaa sioni tena akirudi kwenye ile form yake labda aende kwa mkopo kwanzaNikisema hapa huyu Loftus Kuku hafai kuichezea Chelsea kuna watu wanatoka na kulalama eti apewe muda, sasa huyu kuku apewe muda mara ngapi.!?? Ameisha huyu kuku ona sasa anachofanya uwanjani