juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Lamptey anamtesa sana alonso kwa pace yake
Ongea baada ya mechi 10 sio uongee ndani ya dak 45Team ni ile ile tu tutaelewana mbna [emoji23][emoji23][emoji23]
Alikataa kuongeza mkatabaHuyo dogo tulikosea sana kumuuza
Huwezi kumuwaisha mapema hivKwani Pulisic ilikuwaje tena ameshindwa kujumuishwa kwenye kikosi cha leo.?
Trossard [emoji23][emoji23][emoji23]
Karavati anapiga pasi kwenye mabango tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo karavati simuoni vp yumo kweli
[emoji23][emoji23][emoji23]Karavati anapiga pasi kwenye mabango tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]