Ukizeeka lazima utakuwa mchawi,maana wivu ulionao sio wakawaida.Hamna timu pale mumepigwą kuanzia kocha hadi wachezaji
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ukizeeka lazima utakuwa mchawi,maana wivu ulionao sio wakawaida.Hamna timu pale mumepigwą kuanzia kocha hadi wachezaji
Kai HavertzYaan mlivyomtimua emery mechi ya kwanza mkacheza nao chini ya Yule msimamiz Wa mazoezi mkala kiminyo.....2 nd leg KOCHA wenu arteta mkala kiminyo kama kawa











Hiyo mikojo ya kupeleka yanga kwa mkopo akawekwe benchi na kisindaMount hapaswi kucheza Chelsea kwakweli
Mkuu hakuna kitu hapo, mavi matupuPaundi milioni 72 inapigwa vichenga kila wakati
Anakabia macho tu!
Naona unamfuatilia vzuri ...usihofu akishakuwa mzee tunawauzia aje kula pensheni km kina luiz hapo yatima fcKai Havertz
0 goals
0 assists
0 shots
0 shots on target
56% pass completion
24 times dispossessed
Best debut of all time?
£100m![]()
Wachezaji wenu mlionunua ni mimavi, sisi kule game ya kwanza gabriel kafunga, waillian assist mbili,Mkuu ubao unasomaje hapo?
Najua Roho inawauma sana Chelsea kuwa mbele kwa goli 3
Mmebaki kuficha aibu yenu kupitia Kai.
Je Kai ndiyo anacheza uwanjani mwenyewe? Au ubora wa mchezaji upimwa kwa kufunga magoli?
Je, ninyi wachezaji wenu wanafunga magoli wote wanapocheza?
Acheni shobo kila mmoja apambane na timu yake![]()


yamepigwaaaaaaaaaaaaaa hayooooooooooooooooooNdugu matatizo ya Kepa tunaijua na dawa yake tunaijuaVipi Jana kai havertz arizabalaga![]()
Mavi tu hamna kituGood performance from Werner ...
Kama.Thiago Silva kibabu miaka 37Naona unamfuatilia vzuri ...usihofu akishakuwa mzee tunawauzia aje kula pensheni km kina luiz hapo yatima fc
Haya LembuNdugu matatizo ya Kepa tunaijua na dawa yake tunaijua
Havertz anahitaji tu warm up ili azoee ligi
Werner ni sawa na MorataGood performance from Werner ...
Hivi unapoongea mavi mavi unapenda eh!Wachezaji wenu mlionunua ni mimavi, sisi kule game ya kwanza gabriel kafunga, waillian assist mbili,yamepigwaaaaaaaaaaaaaa hayoooooooooooooooooo
Haverrtz nafasi anayocheza ni CAM na siyo Winger ndio maana kapata shida mechi ya kwanza.




Mavi tu hamnaHahahahahahahahahWe jamaa huwa nakuheshimu sana, nafahamu uwezo wako mkubwa wa kufikiri ila sometimes sipendagi sana kureply comment zako unazoandika utumbo naamini sio unachomaanisha bali ni mambo ya kishabiki.
Grow up man, how can you get justification to judge the football player's standards by only one match still he has not got an experience on that strange pitch even his current club?Vipi Jana kai havertz arizabalaga![]()