Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Majibu ya Klopp, Niliboreka niliposikia anasema hivyo. Maoni yake ya kushangaza, Yeye miaka minne na nusu katumia pesa nyingi leo Chelsea ikitokea kwenye ban ikitumia pesa kuimarisha timu anaita timu inaongozwa na tajiri mmoja kutoka nje, hapo akimponda Roman Abramovich
Hivi wakati wao wanatumia hao matajiri wa Kimarekani hawana say?

Ni wauni tu
 
Emiliano Martinez ajiunga na Aston Villa kutokea Arsenal. Nilijua tu GK mzuri kama Martinez asingekubali kuwa sub
Martinez ameona mbali sana. Hivi Arsenal wana mchezaji ambaye wanaeza kumuuza hata kwa pound million 40?
 
Nipo na wanangu Brighton majeshi!

Trossad usicheke na hawa kima leo!

#Let'sGoBrighton[emoji123]
Wapiga ramli mshafika. Badala mtushabikie sisi kaka zenu tuwalipie kisasi leo baada ya kuwabomoa msimu uliopita mnashabikia upande mbovu. Blue is the color [emoji838][emoji838][emoji838][emoji23]
Sisi BRIGHTON LEO Kauli mbiu yetu


*LAMPARD HAFIKI DECEMBER*
 
Wapiga ramli mshafika. Badala mtushabikie sisi kaka zenu tuwalipie kisasi leo baada ya kuwabomoa msimu uliopita mnashabikia upande mbovu. Blue is the color [emoji838][emoji838][emoji838][emoji23]
Yaani sisi tunawataka wakubwa, level zetu Bayern na Madrid nowdays,Nyie Cheltyako Brighton,leeds, westham and the likes mnakufa Goli kuanzia 3+...This is Arsenal london.

#Coyg
 
Yaani sisi tunawataka wakubwa, level zetu Bayern na Madrid nowdays,Nyie Cheltyako Brighton,leeds, westham and the likes mnakufa Goli kuanzia 3+...This is Arsenal london.

#Coyg
Nyie oneni vituko hivi Arsenal kujifananisha na Bayern na Barca[emoji23][emoji23][emoji23]

Haki mitaani kuna watu bado Milembe inawahitaji. Looh
 
Lineup
Mount ---- Werner ---+ Havertz
Kante ---- Jorginho ---- RLC
Alonso ----Zouma --- Christensen ---- James
Kepa

Sub
Rudiger
Azpi
Odoi
Tammy
Giroud
Cabalero
Barkley
 
Kwa kikosi kile cha Brighton, sioni nyinyi Chelsea mtatokea wapi.

Tuko pamoja wanangu Brighton!
 
Leo ndio tunaanza kuona madudu ya Lampard na Chelsea yake mbovu..

Leo ndio nahakikisha kile kiasi cha pesa cha £72m mlichopigwa kwa Kai.

Leo ndio nahakikisha kuwa Timo ni Tamy mweupe!

Tukutane muda wa mechi!
 
Hivi ndivyo Lampard na Sisi tunaanza EPL 2020/21.View attachment 1569996
Screenshot_20200914-213953_1600108849958.jpg
 
.Havertz na Werner wanatamiwa kifunga kwenye debut yao leo ili kuondoa nuksi ya kuflop
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom