Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ila sisi Chelsea kwenye swala la jezi tunafeli sana. Hiyo third kit bora hata jezi ya mazoezi au ya warm up.

Nike wanatuhujumu bora turudi kwa Adidas
 
Arsenal & Chelsea zote ni timu ndogo.
Mashabiki wao wengi ni watoto walio zaliwa 1990+ unategemea kitatokea nini hapo!?
Manchester United & Liverpool sisi ni watu wazima, Kule isitegemee kukuta ujinga ujinga.
Mtu mwenye majukumu ya msingi (kusomesha watoto ) hawezi kuwa na muda wa kubishana kijinga.

NB. Mpira ni burudani, ushabiki ni utani.
Matusi na dharau sio ushabiki asilani.
GGMU.
Mashabiki wa chelsea tunaharib hii thread yetu sisi wenyewe,tukiacha maswala ya kuwaita sijuo g** gooner na maneno ya hovyo sidhani kama mashabiki wa arsenal wataendelea kupost vitu ambavyo no vya kipuuzi humu ndani.

Tuangalie ma jukwaa ya liverpool na man utd wanavyojadili kule unaweza peleka ujinga wako watu wakaupuuza ila hukh ujinga ukipostiwa tu watu tunataka tujib

Tushakuwa watu wazima tuact kama watu wazima.
Tudiscuss issue zinazoihus team wapi tunahitaj improvement, na wapi tunaelekea baada ya sajili hizi n etc sio kuanza kuitana na mashabiki wa arsenal maneno ua kipuuzi
 
Chelsea-Kit-2ea9.png
 
Mdogo wangu maisha yako yatazidi kuwa magumu sababu ya vitu viwili,
Chel7 na uto[emoji120][emoji120][emoji120]
Hivi Kati ya mashabiki wa Arsenal na Chelseafc nimashabiki gani wenye stress na timu yao,be fair weka ushabiki wa timu pembeni.
 
Arsenal & Chelsea zote ni timu ndogo.
Mashabiki wao wengi ni watoto walio zaliwa 1990+ unategemea kitatokea nini hapo!?
Manchester United & Liverpool sisi ni watu wazima, Kule isitegemee kukuta ujinga ujinga.
Mtu mwenye majukumu ya msingi (kusomesha watoto ) hawezi kuwa na muda wa kubishana kijinga.

NB. Mpira ni burudani, ushabiki ni utani.
Matusi na dharau sio ushabiki asilani.
GGMU.
Arsenal timu ndogo? 3rd most team decorated in EPL?

9th. Most decorated teams in Europe?

OK mashabiki wa Chelsea kuna baadhi wanajitambua kuna baadhi wana utoto wakijinga , na hadi sasa wawili washakula Ban , aliye kwenye list inayofatia ni Ollachuga Oc

Tunataniana ila Kuna baadhi hao wa Chelsea waliokula ban walianza kuvuka mipaka

Kuna watu tuna familia humu , ila kuna watoto pia ndio wanaoleta huo ujinga

Hata huko kwenu Man u , wapo ,unamjua Gpili , Babumawe ,
 
Mashabiki wa chelsea tunaharib hii thread yetu sisi wenyewe,tukiacha maswala ya kuwaita sijuo g** gooner na maneno ya hovyo sidhani kama mashabiki wa arsenal wataendelea kupost vitu ambavyo no vya kipuuzi humu ndani.

Tuangalie ma jukwaa ya liverpool na man utd wanavyojadili kule unaweza peleka ujinga wako watu wakaupuuza ila hukh ujinga ukipostiwa tu watu tunataka tujib

Tushakuwa watu wazima tuact kama watu wazima.
Tudiscuss issue zinazoihus team wapi tunahitaj improvement, na wapi tunaelekea baada ya sajili hizi n etc sio kuanza kuitana na mashabiki wa arsenal maneno ua kipuuzi
Umeongea point sana ,

Maana kuna wenzako walikuwa wanatushutumu sisi ,wanawaonea aibu Chelsea fans wenzao kuwasema ukweli,

Ollachuga Oc na Genge lako , mnaharibu sana thread za Soka kwa utoto wenu
 
Fujo na kejeli mmeanzisha nyie wenyewe hasa mliposhinda FA leo hii wewe ndio unasema tumeanzisha sisi?

Mla ndizi hakumbuki, muokota maganda ndio jukumu lake. Kombe la FA liliwapa wazimu sana nawaza mngechukua EPL sijui ingekuaje!View attachment 1559798
EPL tulishachukua kipind hata Chelsea haijaanzishwa ,

Tulishalichukua pia EPL bila kufungwa

Una haki kusema hivo maana wakati Arsenal anabeba EPL , wewe ulikuwa hujaanza kuishabikia Chelsea ,Na uhakika umeanza kuijua Chelsea 2010-2015
IMG_20200822_221008.jpg
 
Ninyi hamzijui taratibu kuwa mnapaswa kutaarifu kwa Moderators wamtoe kabisa kwenye JF?

Sasa mnapata faida gani kujibizana na watu matusi ilihali hii ni sehemu ya burudani?

Tena isitoshe labda ni watu wazima mnaoongoza familia hata wasifu mbalimbali katika jamii.

Tafadhalini sana ndugu zangu nawaomba tuheshimiane ili tufurahie maisha kuliko matusi.
Tayari moderator wameshafanya yao Wawili wameshakula ban ya miez 3 kila mmoja

Aliye kwenye list inayofatia ni Ollachuga[emoji23]
 
EPL tulishachukua kipind hata Chelsea haijaanzishwa ,

Tulishalichukua pia EPL bila kufungwa

Una haki kusema hivo maana wakati Arsenal anabeba EPL , wewe ulikuwa hujaanza kuishabikia Chelsea ,Na uhakika umeanza kuijua Chelsea 2010-2015View attachment 1561604
Nilikuambia haya matusi yameanza mlipochukua FA mbele yetu nyie ndio mlikua wa kwanza kuja huku kututukana sijasema hamjawahi kuchukua kombe ila reaction yenu baada ya kuchukua kombe ilikua ni sawa na Leicester alipochukua EPL kwa mara ya kwanza. Mli react kama timu changa sana pamoja na matusi juu.

Halafu pia hilo swala la mimi sijui nilianza kushabikia 2010 wewe endelea kuotea kwa sababu hata kama nimeanza jana, juzi au leo wewe unadhurika wapi au mimi nadhurika na nini? Yan mnafanya justifications za kitoto kudhihirisha bado ni wachanga kwenye game.
 
EPL tulishachukua kipind hata Chelsea haijaanzishwa ,

Tulishalichukua pia EPL bila kufungwa

Una haki kusema hivo maana wakati Arsenal anabeba EPL , wewe ulikuwa hujaanza kuishabikia Chelsea ,Na uhakika umeanza kuijua Chelsea 2010-2015View attachment 1561604
Halafu ukiitwa takataka unaanza kulia lia kwa huu utumbo unaoandika hata mende wa nyumbani kwako watakushangaa. Arsenal kombe la kwanza la ligi mmechukua mwaka 1930 halafu unaandika eti hata Chelsea ilikua haijaanzishwa [emoji23][emoji23]

Kawaandikie ndugu zako uliozoea copy na ku paste hawahoji chochote. Mkuu tunaomba tupe vitu vyenye akili usilete porojo humu utaaibika wewe.
 
Mbona umepanik sana , [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona umepanik sana , [emoji23][emoji23][emoji23]
Siyo kwamba amepaniki kama kitu hukijui bora ungeuliza kwa wanaojua,jamaa amekufumbua macho ulikuwa hujui kuwa Arsenal kwa mara ya kwanza ilichukua ubingwa mwaka huo au unabisha?
 
Siyo kwamba amepaniki kama kitu hukijui bora ungeuliza kwa wanaojua,jamaa amekufumbua macho ulikuwa hujui kuwa Arsenal kwa mara ya kwanza ilichukua ubingwa mwaka huo au unabisha?
Wewe ndio huelewi chochote , kwahiyo haikuwahi kuchukua tena ? Au hoja ni nini
 
Tatizo unataka kutujaza ujinga kama unavyowajaza Arsenal wenzio.
Hamna mtu anayemuendesha mwenzake , Na uhakika umeanza kuijua Chelsea 2010-2015

Maana Chelsea imeanzishwa 2005 , kuijua umeijua 2010-2015 ndio maana unasema Arsenal angebeba EPL ,

Sasa ndio nakuelimisha tulishabeba EPL kabla Chelsea haijaanzishwa 2005 ,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom