Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Utani tu Southern Highland usije kumaind , cha muhimu tusitukanane ,Okay okay
Utani tu Southern Highland usije kumaind , cha muhimu tusitukanane ,Okay okay
Tukiliamsha hapa mnasema Arsenal fan wana fujoGay gooner.
Acha basi uongo. Unaonyesha jinsi ulivyo mtoto, Chelsea ilianza kuchukua makombe tangu 1955Hamna mtu anayemuendesha mwenzake , Na uhakika umeanza kuijua Chelsea 2010-2015
Maana Chelsea imeanzishwa 2005 , kuijua umeijua 2010-2015 ndio maana unasema Arsenal angebeba EPL ,
Sasa ndio nakuelimisha tulishabeba EPL kabla Chelsea haijaanzishwa 2005 ,
Wa Chelsea maana sasa arsenal ukali wao unahofiwa na timu kibao ya kwanza ikiwemo hao chelseaHivi Kati ya mashabiki wa Arsenal na Chelseafc nimashabiki gani wenye stress na timu yao,be fair weka ushabiki wa timu pembeni.
Siwezi ku mind mwanang. Naelewa vizuriUtani tu Southern Highland usije kumaind , cha muhimu tusitukanane ,
Unafeli sana ndugu yangu.Mdogo wangu maisha yako yatazidi kuwa magumu sababu ya vitu viwili,
Chel7 na uto[emoji120][emoji120][emoji120]
Nikipigwa ban roho yako itasuuzika maana naona nakunyima usingizi😂😂😂😂😂😂Mm.siwez kupigwa ban ,sina matusi ,wala kashfa
Bado Ollachuga OC kupigwa ban ,
Nitawakomesha mmoja mmoja wote ambao hamjui ushabiki mnaleta habari zisizohusu soka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Timo Werner Vs Switzerland [emoji1237]
0 Goal
0 Assist
0 Shot On Target [emoji457]
10x Possession Lost
Another Horrible Performance From The Blues Cow[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2089][emoji2089]
Wala huna lolote, ila unaleta utoto sana, unaharibu nyuz za soka, mwisho wote tunaonekana tuna akili kama zakoNikipigwa ban roho yako itasuuzika maana naona nakunyima usingizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi nitakuwa sina cha kufanya ,Aaron Arsenal unaniwaza 24 hours. Waambie moderator wanipige ban bas roho yako isuuzike[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pamoja sanaSiwezi ku mind mwanang. Naelewa vizuri
Kwani mkuu mtu akisema Chelsea imeanza 2005 ni kweli?Acha basi uongo. Unaonyesha jinsi ulivyo mtoto, Chelsea ilianza kuchukua makombe tangu 1955
Wewe ulitaka utambulisho gani kwa sababu Ziyech katambulishwa toka February usajili wake ulipo kamilika. Timo naye katambulishwa usajili wake ulipokamilika.Naomba kufahamishwa kwa ufasaha, kwann mpaka sasa Ziyech na Werner hawajatambulishwa rasmi.
Wewe ulitaka utambulisho gani kwa sababu Ziyech katambulishwa toka February usajili wake ulipo kamilika. Timo naye katambulishwa usajili wake ulipokamilika.
Labda wewe ulitegemea wapige vinanda kama Sanchez au?
Huyo dogo wa 2004 asikupe tabuBasi nitakuwa sina cha kufanya ,
Mm ninachosema ni utoto unaofanya tunaonekana Arsenal na Chelsea fans kama watoto wadogo .
Kumbe ndio maanaHuyo dogo wa 2004 asikupe tabu
Uelewage maana ya utani, utani ni sehemu ya soka hasa kwa sisi mashabiki, tatizo nyinyi mnakaza sana ubongoHalafu ukiitwa takataka unaanza kulia lia kwa huu utumbo unaoandika hata mende wa nyumbani kwako watakushangaa. Arsenal kombe la kwanza la ligi mmechukua mwaka 1930 halafu unaandika eti hata Chelsea ilikua haijaanzishwa [emoji23][emoji23]
Kawaandikie ndugu zako uliozoea copy na ku paste hawahoji chochote. Mkuu tunaomba tupe vitu vyenye akili usilete porojo humu utaaibika wewe.