Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

1599518737915.png
 
Chelsea to seal £18m Mendy deal
Chelsea are now aiming to sign goalkeeper Edouard Mendy from Rennes in an £18m deal.
The Telegraph report the Blues are closing in on a deal for a goalkeeper recommended by club legend Petr Cech, who returned to the club as their technical and performance advisor last year.
1599519653391.png
 
Chelsea to seal £18m Mendy deal
Chelsea are now aiming to sign goalkeeper Edouard Mendy from Rennes in an £18m deal.
The Telegraph report the Blues are closing in on a deal for a goalkeeper recommended by club legend Petr Cech, who returned to the club as their technical and performance advisor last year.
View attachment 1562472
lembu nilikuambia huyo Mendy Ni kiboko wewe ukaniletea rate za mtu Binafsi kuwa eti onana Ni best than mendy.Huyu Mendy ataenda kuziba nafasi ya cech pale Chelsea nimewahi kumuona akidaka ndio maana nikakuambia hivyo.
 
Basi nitakuwa sina cha kufanya ,

Mm ninachosema ni utoto unaofanya tunaonekana Arsenal na Chelsea fans kama watoto wadogo .
Unafeli sana ndugu yangu ..sisi tutaendeleza mashambulizi kama mkiendelea kutuita majina ya ajabu ajabu.
#CFC💙💙💙
 
Nimetoka kumuangalia kai havertz aisee nimejiuliza cheltyako mmeona nini kwa huyu jamaa mbona kiwango duni anapitwa na mount vitu vingi
 
Ifike wakati sasa wageni wakija waanze kwaa kujitambulisha kama ifuatavyo
  1. Una umri gani?
  2. Je umejiunga lini JF?
  3. Je unashabikia timu gani?
  4. Je umeanza ushabiki lini?
  5. Ukiishamaliza hayo ndipo uanze kwa kusalimia "Shikamoo wakubwa zangu" kabla hajaanza kuelezea shida yake
huna timu wewe ze blauz
 
Unakuta limtu linakwita cheltako,mara chelwowo ndo nini mara linatuma picha ajabu ajabu halafu likijibiwa linaleta khasira za kijinga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sisi tunajibu kwa jinsi mna react upumbavu wenu.

Pumbavu kabisa.
Wewe ndio unatabia ya kuita wenzako arse8, sijui Na picha za ajabu ajabu

Sisi tutawajibu kwa kadri mlivyokuja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom