mart66
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 610
- 691
Rice mzur sana kawazid viung wengi tNi kheri Rice
Rice mzur sana kawazid viung wengi tNi kheri Rice
Ni free agent siyo mchezaji wa kununua.[https://pbs]
Fabrizio Romano
@FabrizioRomano
·
2h
Thiago Silva has been offered to Chelsea by his agent days ago. Chelsea are seriously considering him as an option but Thiago wants some days more to decide his next club. He’s focused on the final then he’ll choose. Also Fiorentina and 3 more clubs contacted him.
[https://abs-0]
#CFC #Thiago
![]()
Kama KINGE kimewashinda kutafsiri mnasama ili msaidike. Soma kwa sauti hii statementDuh!mnanunua bibi la miaka 35
![]()
Jamani vitu vingine muwe mnashirikisha ubongo kabla hamjaongea. Unajiabisha mwenyeweHuyu ndo akamzuie Auba.. Nyie cheltako kweli mnachekesha!!
![]()
Mbona Conte alimuuza Costa akamnunua MorataToka mwanzo nasema Lampard hafai kuifundisha Chelsea anasajili mtu kama Chilwell hivi kweli hii takataka ya nn kwetu. Dogo Sergio Reguilon hamuoni kweli tena anapatikana kwa bei nzuri tu
Unapohisi takataka jiulize why man utd,man city wote hawa waliwahi onesha interest kwa chilwelSisi mashabiki lazima tuongee, huwezi kutuletea takataka kwenye klabu yetu kisa tu ww unampenda. Chilwell hapaswi kuichezea Chelsea kiwango chake ni kidogo sana, msimu ujao si wa kuimprove ni msimu wa kuchukua mtaji ndio maana watu kama Ziyech, Werner, Havertz n.k wakaletwa.
Unaposema Alex Telles ana miaka 27, mbona Thiago ana 35 next wiki anakamilisha usajili.
Mnaondoa wazee mnasajili vikongwe,






Kupigwa hamjaanza leo, huo ni mwendelezo tuChillwel pale tuna pigwa kabisaa £50 nying sana kwa yule dogo
But upande wa rice yule anapiga Kaz san. Kawzd San wakin jorginho pale Chelsea
Unaondoa Luiz 32 unaleta Silva 36Sisi mashabiki lazima tuongee, huwezi kutuletea takataka kwenye klabu yetu kisa tu ww unampenda. Chilwell hapaswi kuichezea Chelsea kiwango chake ni kidogo sana, msimu ujao si wa kuimprove ni msimu wa kuchukua mtaji ndio maana watu kama Ziyech, Werner, Havertz n.k wakaletwa.
Unaposema Alex Telles ana miaka 27, mbona Thiago ana 35 next wiki anakamilisha usajili.



Huo ndio ujinga ninaouchukia, wakati ligi ni ya kwao. Ni sawa na watu baki wa nje waje waanze kwuachukia akina mkude, kapombe, john bosco, chama, erasto nyoni na wengineo na kuanza kuwatukuza akina Kagere, Harun NyonzimaMbona Conte alimuuza Costa akamnunua Morata
Mourinho alimuuza Mata ambae alikuwa player of the year mara 2 mfululizo
Kila kocha anawachezaji wake na anaohisi watampa mafanikio based na plan yake
Lampard ni mtu sahihi kuwepo hapo mda utaongea tu
Katika kitu nilichogundua unawachukia wachezaji wa kingereza
Nadhan hata wakati lampard,j cole,garry cahil na hata ashley cole ingekuwa sasahiv wanasajiliwa nadhan ungepinga sajili zao
Haahaaa Luiz tuliogopa atatusababishia penalty 5... na red kadi za kijingaUnaondoa Luiz 32 unaleta Silva 36
Huu ni utopolo
Watu wanasahau ile ni kampuni/ taasisi ya kiingereza+ FA wanasheria zao kwenye squad yako lzm uwe n wachezaji wazawa kama 8 ...na first eleven yako asipokuwa muingereza I think unapigwa faini mwsho wa msimuHuo ndio ujinga ninaouchukia, wakati ligi ni ya kwao. Ni sawa na watu baki wa nje waje waanze kwuachukia akina mkude, kapombe, john bosco, chama, erasto nyoni na wengineo na kuanza kuwatukuza akina Kagere, Harun Nyonzima
LIgi ni ya Uingereza, KOcha wa Uingereza mapato yao, wanajenga uchumi wao, sisi ni wavamizi tu, tumeacha kushabikia timu zetu za Bongo tukaamua kushabikia timu zao. Tuwe wastaarabu na tuheshimu uchaguzi wao kwenye ligi yao. Sera wakiweka ya kuwapendelea wachezaji wao ili wajenge timu yao ya Taifa ni sawa, ni wao kwenye ligi yao
We jamaa unaizalilisha tasnia ya hesabu na mpira wa miguu kabisa kwa ujumla. Utawezaje kufananisha umri na vipaji vya watu. We hujaona huko Slatan Ibrahimovic mechi 18 goli 10 na assits 5 na ana miaka 39 by october?Unaondoa Luiz 32 unaleta Silva 36
Huu ni utopolo






Atakuwa ni msaada pia.Ila katika sajili zote asisajilkiwe Chilwell kwa bei hiyo kama anasajiliwa iwe chini ya 40Mil, hana anachomzidi Alonso
Kwani Luiz na Willian wamepataje namba apo.Hakuna hata mmoja ambaye anaweza ingia ktk kikosi chetu hapo
Ki FA kinawapa kiburiMimi sibishani na nyie watoto wadogo,level zetu kubwa now,Wewe jipange vizuri ila kichapo kipo palepale







mlaji kama mlaji mshahara














