NAAM
Kesho ndio mwisho wa ubishi kwenye uefa [emoji23]
Leo ngoja niwalete kikosi bora cha
Sajili Za Kitapeli Episodess
Msimu huu kwenye uefa[emoji23]
1.Kepa kama kepa pazia la hekalu[emoji23]
2.Elder millitao real [emoji23]
3.Emerson palemer[emoji23] mlaji kama mlaji mshahara
4.Zuma a.k.a mbeba madumu ya mafuta ya taa zizini[emoji23]
5.John stones mlaji kama mlaji mshahara
6.Ander Herrera [emoji23]
7. Eden hazard wengi mnashangaa jina lake huku ila huyu ni mlaji mshahara msimu huu kapatia kweli[emoji23]
8.Aron Ramsey juventus mzururaji ovyo[emoji23]
9.Tambi Abraham mcheza gololi kwank streka hana hata shoot on target nje ya box[emoji23]
10.Phillip coutinho huyu jaama bwana kajificha kwenye kivuli cha zile goli mbili dhidi ya barca ila ni mlaji mzuri wa mshahara[emoji23]
11.Mariano Diaz mrithi wa ronaldo[emoji23]
Banch.sabu caballero.Gotze.martin brathiwhite.Tanguy ndombele. Giovan lo celso .mbwana samatta huyu pale genk mwanzo hatua ya makundi alikua mzuraji mzuri uwanjani[emoji23]
Kocha.Frank lampard
Msaidizi wake .quique seitien mzee wa nane nane [emoji23]
Najua wengi mnajiuliza mbona minamino hayupo hapo juu we uliona wapi Mafia akacheza soccer hichi sio kikosi cha mafia wa kijapan ni cha wachezaji mpira[emoji23]
Nakwenda zangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
View attachment 1545072