Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Anatolewa babu Luiz anakuja Kikongwe Silva

Here we go.
Wewe unaumwa akili, unataka kumfananisha Luiz na Thiago. Umaedhirika akili ndugu, Alichomzidi Luiz Silva ni Long passes tu, maeneo mengine chali
 
Wewe unaumwa akili, unataka kumfananisha Luiz na Thiago. Umaedhirika akili ndugu, Alichomzidi Luiz Silva ni Long passes tu, maeneo mengine chali

Unaonekana wazi kuwa umeumbuka na uso kusawijika

Eti Unapunguza wazee katika kikosi.... Maviiiiii

Kwahiyo Thiago ni anachezea timu ya vijana ya Brazil U40??

Hamuijui timu yenu nyinyi acheni kupiga kelele,

London is Red
Kudadadek
 
Unaonekana wazi kuwa umeumbuka na uso kusawijika...
Tunapunguza wazee wasio na faida kama akina Luiz, Willian tulikuwa bado tunamuhitaji akakataa mkataba ninyi mkaingia kingi, acha utoto wewe ukiwa na wanaume tafuta kujifunza kwanza ili na wewe uwe na hekima na busara huko mbeleni Mungu akikujalia
 
Tukutane hapa tujadili maendeleo ya timu yetu
Mim kama mimi naona chelsea mbeleni yenye mafinikio makubwa sana endapo Frank Lampard ataacha upendeleo kwa wa England tuu na kutotizama what other players done.Imeisha iyo share ur opinionView attachment 1545702
Naona hata tuliowasajili chini yake ni waingereza ..timo Werner, hakim ziyech, tunahusishwa ni thiago Silva huyu naye ni mwingereza bila kumsahau wonder kid tunayemtaka kwa hali na Mali ni muingereza ......kwann mnachuki na waingereza hvyo aisee?
 
Naomba kujua, inakuwaje Chelsea walimnyima mkataba Willian wa miaka mitatu then wanaenda kumpa Thiago Silva miaka iyo iyo mitatu?
 
Naomba kujua, inakuwaje Chelsea walimnyima mkataba Willian wa miaka mitatu then wanaenda kumpa Thiago Silva miaka iyo iyo mitatu?
Wanacheza namba tofauti, Willian yuko kwenye namba yenye wachezaji wengi, Kule nyuma kuna shida, Labda ungeuliza kwa nini Walimruhusu Luiz aondoke na sasa wanamsajili Thiago. THiago ni World Class defender. Takwimu zake zinapitwa na madifender wachache sana duniani. Ukiondoa umri wake kuna maeneo kama ya Marking, Tackling, Strengths, Heading, passing, Interception (Very very good), jumping, Composure ni mzuri sana na hayo maeneo ndiko Chelsea inakomiss. Akija Chelsea atakayempita kwenye hayo maeneo ni Kante pekee
 
We jamaa achaga vituko basi, juzi tu ziliwekwa habari hapa zinazomuhusu huyu Kibabu ukazikanusha
Leo unamuona bora.
Kabla hujajua ukweli wa jambo usikurupuke

Kambi ya vikongwe hii,

Bado kuna golikipa mmoja ana miaka 38 mnamfukuzia usije sema sijakwambia
Tatizo lako huwa huelewi unakaza kichwa mnoo
 
Tunapunguza wazee wasio na faida kama akina Luiz, Willian tulikuwa bado tunamuhitaji akakataa mkataba ninyi mkaingia kingi, acha utoto wewe ukiwa na wanaume tafuta kujifunza kwanza ili na wewe uwe na hekima na busara huko mbeleni Mungu akikujalia
Sasa mara mlikuwa mnamuhitaji, mara amewakatalia kusign mkataba, mara sisi tumeingia kingi
Kabla ya kuziruhusu hizi comment zako zireview kwanza mkuu, unajiaibisha...

Yaani kama mtu uliyekabwa unabaki kurusharusha miguu..

Chelsea lives matter...

London still red
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom