Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Na Lampard huyohuyo ametupa kombe, unapata wapi ujasiri wa kutype hili shudu? View attachment 1543484
Sisi tusgawazoea ikifika October mwishoni wakati imeanza kuchanganya hapo kina BHA wanajipigia tu wanavyotaka huwa mnakimbia anabaki mmoja na mwingine mmoja mmoja anajitokeza siku mkifufuka.

Sisi tupo hapa kwa ajili muende mrudi mtatukuta.
 
Uzuri wake ukweli unaijua kuwa
JamiiForums739720064.jpg
 
Sisi tusgawazoea ikifika October mwishoni wakati imeanza kuchanganya hapo kina BHA wanajipigia tu wanavyotaka huwa mnakimbia anabaki mmoja na mwingine mmoja mmoja anajitokeza siku mkifufuka.

Sisi tupo hapa kwa ajili muende mrudi mtatukuta.
Kisheria sisi tulitakiwa tubishane na Manyumbu na sio hao wanaoishi kwa matumaini, hawajui kesho itakuja na lipi. Wakorofi kama wameadhirika. Ndio maana wamejaa huku kwetu kwa sababu kule kwao hawana la kujadili kushusu timu yao marehemu
 
Huoni aibu? Hivi katika msimu huu nani aliyefanikiwa?
Nyie pombe haziwapendi,
season_19_20.jpg
 
Kisheria sisi tulitakiwa tubishane na Manyumbu na sio hao wanaoishi kwa matumaini, hawajui kesho itakuja na lipi. Wakorofi kama wameadhirika. Ndio maana wamejaa huku kwetu kwa sababu kule kwao hawana la kujadili kushusu timu yao marehemu
Nyie kikundi cha ngoma tu

FB_IMG_1597953198761.jpg
 
Kisheria sisi tulitakiwa tubishane na Manyumbu na sio hao wanaoishi kwa matumaini, hawajui kesho itakuja na lipi. Wakorofi kama wameadhirika. Ndio maana wamejaa huku kwetu kwa sababu kule kwao hawana la kujadili kushusu timu yao marehemu
Willian- Auba - Pepe = Ni balaa
hapo sijamtaja Lacca

Yaani hii timu hata tuchezeshe Saka na Martinelli hamuwezi tufunga

#Coyg
 
Hawa tuliwakosea kuwafunga goli chache kwny Final,sasa hivi tutawapiga nyingi ili waache Kutafuta visingizio,nxt season lazima mseme Brother shikamoo
 
Chelsea 'in advanced talks to sign PSG captain Thiago Silva on a free transfer'

2 hours ago / autty

Chelsea are reportedly in advanced talks to secure a deal for 35-year-old Paris Saint-Germain captain Thiago Silva as Frank Lampard looks to solve his defensive woes ahead of the new season.

Pale unapouza Mlipili unanunua Onyango, kwa kigezo cha kupunguza wazee klabuni
 
[https://pbs]

Fabrizio Romano

@FabrizioRomano

·

2h

Thiago Silva has been offered to Chelsea by his agent days ago. Chelsea are seriously considering him as an option but Thiago wants some days more to decide his next club. He’s focused on the final then he’ll choose. Also Fiorentina and 3 more clubs contacted him.

[https://abs-0]

#CFC #Thiago

1596973127482.jpg
 
Chelsea 'in advanced talks to sign PSG captain Thiago Silva on a free transfer'

2 hours ago / autty

Chelsea are reportedly in advanced talks to secure a deal for 35-year-old Paris Saint-Germain captain Thiago Silva as Frank Lampard looks to solve his defensive woes ahead of the new season.

Pale unapouza Mlipili unanunua Onyango, kwa kigezo cha kupunguza wazee klabuni
Duh! mnanunua bibi la miaka 35
 
Willian- Auba - Pepe = Ni balaa
hapo sijamtaja Lacca

Yaani hii timu hata tuchezeshe Saka na Martinelli hamuwezi tufunga

#Coyg
Haaahaaaa Msimu ulioisha tu hamjatufunga kwenye ligi...... Hyo boxing day mjipange ligi ikishachanganya kuna pulisic-werner- ziyech....kwa Yale matahira ya pale nyuma naamini kuna penalty moja ...na goli zingine km 3
 
Kwann mpaka sasa Hakim Ziyech na Timo Werner hawajatambulishwa rasmi.?????
Nafikiri labda watatambulishwa rasmi wakishika jezi zao official na namba zao.....maana kulikuwa na mchakato wa kuwapa no. Za jezi na nafikiri litafanyika kabla ya game za kirafiki za pre season.........ndo Nionavyo mm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom