Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mnyama Willian yupo mbele pale hawa watoto laini wa Mombasa tunawaachaje jamani [emoji23][emoji23][emoji23]
Coyg[emoji837]
 
Mkuu huu mwendo uliorudi nao naomba uendelee nao usije ukakimbia kama kipindi kile. Uliporudi ukabadilisha na jina[emoji23][emoji23]

Timu yako tunaijua huwa mnapoteana nyie sasa ndio mnaongoza kwenye majukwaa ya wanaume ikifika mwisho wa Oktoba mpaka wewe unalalamikiwa kwa nini husajili[emoji23][emoji23]
Dah hawa mid table team wana imani sijawahi kuona ....kuna arsenane nyingine ilikuwa inawaza kuwa invincible
 
IMG-20200820-WA0008.jpg
IMG-20200820-WA0009.jpg
 
Mkuu huu mwendo uliorudi nao naomba uendelee nao usije ukakimbia kama kipindi kile. Uliporudi ukabadilisha na jina[emoji23][emoji23]

Timu yako tunaijua huwa mnapoteana nyie sasa ndio mnaongoza kwenye majukwaa ya wanaume ikifika mwisho wa Oktoba mpaka wewe unalalamikiwa kwa nini husajili[emoji23][emoji23]
Sijawahi kubadili jina mm ,niliongeze neno Arsenal

Kama nilibadili umenijuaje
 
Mashabiki wa Arsenal huwa wana nguvu kabla ligi haijaanza. Ikiisha anza wanapoteana kama Mazombie
 
Nimejaribu kuicheza ile mechi ya marudiano chelsea vs Bayern Munich kwenye PlayStation lakin bado nimeshindwa kuifunga Bayern had nilipo badilisha setting nikaweka beginner ndo at least nikafanya comeback.
Nafikiri haya matokeo ya Corona kusimamishwa kwa ligi ndo matokeo pekee yaliyo tufanya Chelsea angalau tuwe na furaha kidogo
FB_IMG_1597908863828.jpg
 
Ngoja niwachambue ndugu zangu wa zizini

Kuhusu usajili wa timo Werner na hakim ziyech [emoji23]

Ndio timo anajua kufunga kama msimu ulio kwisha wa bundesliga kawa namba mbili kwa kufunga goal 28 sio mbaya kwa streka

Kama huyu ndio anatakiwa hapa kweli mlilamba dume hilo halina shaka[emoji122]

Kingine kwa hakim hapa pia mlilamba Dume kwani hakim yeye kufunga na assist anaweza kazi itakua ni kumlisha timo palembele[emoji122]

Lakini[emoji22] nawakumbusha huku nyuma hakuna kitu jamani

Timo anaweza kufunga goal 30 kwa msimu huku nyuma kwa kina kepa

Wanaweza kucheza mechi kumi wakaruhusu goal 40 kabla hata msimu haujaisha

Kingine na huyu kepa ndie atakua mpinzani wa timo katika kufunga magoli kwani yeye timo

Akifunga kepa yeye anaruhusu[emoji23] tu huku nyuma mwisho wa msimu wanaweza kulingana kila kitu kuanzia magoli hadi assist [emoji23]

Yani hapo ndugu zangu wa Chelsea wanajenga nyumba bila msingi na msingi ni huku nyuma

Na nyumba pasipo msingi itanguka

Ushauri wangu ni kwamba pesa ya kumsajili kai bora watafute beki na kipa [emoji23]

Kuliko kuja kuona kepa na kina Zuma wakishindana kwenye kufunga magoli na mastreka wao[emoji23] na assist huku nyuma wakichoma

Kingine ziyech ni mzuri mzoefu mwenye ubora kuliko kai

Ukweli usemwe kai hana umuhimu wowote kama beki na kipa pale zizini

Lampard anatakiwa kushtukia huu mchezo kwa kai [emoji23]

Mfano embu angalia mbugani pamoja na Bruno kuwasaidia kupiga penalty huku nyuma

Magwaya na lindelof wanashindana naye kufunga au kutoa assist kwa timu pinzani[emoji23]

Yangu ndio hayo

Nakwenda zangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
FB_IMG_1597562714192.jpg
 
Mazungumzo ya ziyech .kovacic.na rudger[emoji16][emoji116]

Kovacic.unamuona huyu[emoji117]rudger ndio mchomaji wa zizi sikuiz nayeye kaingia kwenye group LA kepa na zouma[emoji16] yeye sikuiz anawasidia kuchoma makaratasi[emoji16]kepa na zuma wabebaji mafuta na kibiriti

Rudger .usinifoke we kovacic jamaa muongo sana wewe wala sio Mimi mchomaji[emoji51]?Kepa Alizabalaga Mkaa Golini

Ni kepa pamoja na Zuma [emoji51][emoji51]

Ziyech.duh[emoji23] kumbe ndio hivyo alaa[emoji23]
FB_IMG_1597954867780.jpg
 
Mashabiki wa Arsenal huwa wana nguvu kabla ligi haijaanza. Ikiisha anza wanapoteana kama Mazombie
Wewe ndio unakimbia humu na wenzako kina TAKATAKA [emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom