Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Dili la chillwel linaenda kukamilika japokuwa mimi simkubali san uyo digo
 
Soon
Screenshot_20200821-230139.jpeg
 
Huyu takataka Chilwell wa kazi gani sasa, inamaana huyu Lampard ameshindwa kabisa kumchukua mnyama Alex Telles ana dogo Sergio Reguilon.!!!!?? Anatuletea hii takataka kweli.!!!!!
teh teh teh
na tukitoka hapo tunaenda kwa declan rice, mrithi wa jorginho
england FC
 
Rice msmu huu kfny vzr kuwzd viungo wengi t so bora rice kuliko chilwell
Screenshot_20200821-232718.jpeg
Screenshot_20200821-232729.jpeg
 
Uchochoro chilwell

Hawa waingereza watawauweni,

Leicester bhana kila msimu lazima ampige mtu
 
Haaahaaaa Msimu ulioisha tu hamjatufunga kwenye ligi...... Hyo boxing day mjipange ligi ikishachanganya kuna pulisic-werner- ziyech....kwa Yale matahira ya pale nyuma naamini kuna penalty moja ...na goli zingine km 3
Labda ucheze na Arsenal Tula,lakini ukicheza na Arsenal london tunakubinua km Wembley
 
Uchochoro chilwell

Hawa waingereza watawauweni,

Leicester bhana kila msimu lazima ampige mtu
Chillwel pale tuna pigwa kabisaa £50 nying sana kwa yule dogo

But upande wa rice yule anapiga Kaz san. Kawzd San wakin jorginho pale Chelsea
 
Huyu takataka Chilwell wa kazi gani sasa, inamaana huyu Lampard ameshindwa kabisa kumchukua mnyama Alex Telles ana dogo Sergio Reguilon.!!!!?? Anatuletea hii takataka kweli.!!!!!
Chilwel ni target ya lamp vile vile ashley cole naye alimpendekeza

Miaka ya nyuma tulikuwa tunalalamika tim inasajili mchezaji ambaye kocha hamtaki mwaka huu lamps anapewa kila mchezaj anayemtaka bado tunalalamika

Telles anamiaka kama 27-28 hiv reguillon ni player wa real madrid aliyepo kwa mkopo what if unamsajil the baada ya miaka 2-3 real wanamtaka coz marcelo hana misim 4 mbele

Chilwel ndio kwanza anamiaka 23 stil anaroom ya kuimprove na atakaa darajan zaid ya misim 8
 
Uchochoro chilwell

Hawa waingereza watawauweni,

Leicester bhana kila msimu lazima ampige mtu
Hembu acheni zenu hivi wale wakina willock,nketia huwa hamuwaoni au wenyewe sio waingereza na arteta si muispain yule mbona huwa anawapanga

Chilwel ataimprove mda utaongea tu

Ukimtoa Chilwel
Je Werner,Ziyech hawa ni waingereza
Vipi kuhusu Kai je na yeye ni muingereza
 
Chilwel ni target ya lamp vile vile ashley cole naye alimpendekeza

Miaka ya nyuma tulikuwa tunalalamika tim inasajili mchezaji ambaye kocha hamtaki mwaka huu lamps anapewa kila mchezaj anayemtaka bado tunalalamika

Telles anamiaka kama 27-28 hiv reguillon ni player wa real madrid aliyepo kwa mkopo what if unamsajil the baada ya miaka 2-3 real wanamtaka coz marcelo hana misim 4 mbele

Chilwel ndio kwanza anamiaka 23 stil anaroom ya kuimprove na atakaa darajan zaid ya misim 8
Katika mpira na pia kimkakati miaka 27/28 bado ni miaka ya kutosha kuleta matokeo tarajiwa. Huyo Telle anaweza pewa mkataba wa miaka 4, huo ni mkataba mrefu sana. Pia Reguillion ni mchezaji wa mkopo, anawza uzwa muda wowote pesa nzuri ikitolewaHakuna sababu itajustify kwa nini Lampard ampende Chilwell zaidi ya Teles au Reguillion
 
Hembu acheni zenu hivi wale wakina willock,nketia huwa hamuwaoni au wenyewe sio waingereza na arteta si muispain yule mbona huwa anawapanga

Chilwel ataimprove mda utaongea tu

Ukimtoa Chilwel
Je Werner,Ziyech hawa ni waingereza
Vipi kuhusu Kai je na yeye ni muingereza
Sasa hujui Nketiah na willock walikuwa wanapangwa sababu Arteta ndio kawakuta, subiri analeta watu wake uone kama watapangwa zaid ya carabao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom