Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,930
- 27,184
Sajili kama hizo ndio zinatuweka juu yako kila siku.Kuna jitu linaenda kupigwa €100m soon,
Ladies and gentlemen,
Be attention.....
Ding
Dong
![]()
Sajili kama hizo ndio zinatuweka juu yako kila siku.Kuna jitu linaenda kupigwa €100m soon,
Ladies and gentlemen,
Be attention.....
Ding
Dong
![]()
Saiz mmegeukia tunapigwa kweli mfa maji haishi kutapatapaKuna jitu linaenda kupigwa €100m soon,
Ladies and gentlemen,
Be attention.....
Ding
Dong
![]()
Kepa aliprove bei yake semi final Europa na tukaenda kukunyuka Baku .... Kweli binadamu wepesi sana kusahauKepa![]()
Naona nguvu ya Wanzuki hiyoKepa aliprove bei yake semi final Europa na tukaenda kukunyuka Baku .... Kweli binadamu wepesi sana kusahau


Bayern walishasema kabisa msimu huu hawana muda na Kai ,ila akibaki tu asipouzwa , msimu ujao atabakiza mwaka mmoja watamchukua kwa bei ndogo kama kawaida yao ,Sure hii ndo golden chance maana timu nyingi zipo hovyo kiuchumi kutokana na effect za pandemic....ukienda kumuulizia next summer unawakuta real Madrid na Bayern wameshajipanga
Arsenal sio mid table teamKwahuu usajili naamini utajinasua toka mid-table team......VP partey na coutinho wameshatua?
Hao tukiwapeleka arsenal kwa mkopo siyo mbaya. Wakapate uzoefu uko..Changamoto iliyopo wachezaji wetu hawauziki kwa haraka na hii changamoto ya Corona timu nyingi ziko zohofu hali zinataka tuwape wachezaji kwa mkopo.
Barkely
Zappacosta
Joginho
Drinkwater
Mosses
Batshuayi
Keppa
Tomori
Ermason
Rudger
Christensen
Bakayoko
Hapa unapata pesa gani ya haraka? Jogniho alikuwa hot sokoni baba yake amefukuzwa kazi Juve.
Labda tuwauze Zouma, Kante, Odoi, Mount, Alonso tunaweza pata pesa ya haraka.

Peter Cech and Marina have told Frank Lampard to give Kepa another chance to prove himself

#CFCSio tu Mount, kuna Odoi, Kuna Ziyech anacheza karibu position zote Havertz angekuja kucheza, Havertz ni mzuri ila optional, tuelekeze nguvu kwa mabeki na kipaUzuri ni kuwa Havertz ni optional ikitokea deal limeshindikana haita affect kitu kwa sababu yupo Mount. Kwa iyo nguvu ya usajili itapelekwa kwa backline. GK, CB na LB
Zouma, Kante, Mount, Alonso NO NOChangamoto iliyopo wachezaji wetu hawauziki kwa haraka na hii changamoto ya Corona timu nyingi ziko zohofu hali zinataka tuwape wachezaji kwa mkopo.
Barkely
Zappacosta
Joginho
Drinkwater
Mosses
Batshuayi
Keppa
Tomori
Ermason
Rudger
Christensen
Bakayoko
Hapa unapata pesa gani ya haraka? Jogniho alikuwa hot sokoni baba yake amefukuzwa kazi Juve.
Labda tuwauze Zouma, Kante, Odoi, Mount, Alonso tunaweza pata pesa ya haraka.
Nyie mnyamaze na mkomae na akina Luiz na Willian. Wanaume wanapoenda shopping inabidi nyie mgeuke kuwa watazamaji tuKuna jitu linaenda kupigwa €100m soon,
Ladies and gentlemen,
Be attention.....
Ding
Dong
![]()
Ila katika sajili zote asisajilkiwe Chilwell kwa bei hiyo kama anasajiliwa iwe chini ya 40Mil, hana anachomzidi AlonsoUsajili wowote wa kipa mzuri utafuta deal la harvetz. Hapo nachoona Harvetz atatua na tutasajili LB.
Namuona CHILWELL akitua darajani. Sidhani kama tutamsajili CB jiandae kisaikolojia kuendelea kuwaona RUDGER, CHRISTENSEN & ZOUMA kwenye defensive msimu ujao
PILISIC..........WERNER.............ZIYECH
KOVACIC........KANTE............HARVETZ
CHILWELL...RUDGER....ZOUMA...AZIPU
..........................KEPA..............................
Ila naona kabisa huko mbeleni kuna uwezekano tukasajili kipa. Nadhani wameshindwa sasa hivi kufanya sajili kwa hiyo wanajaribu kumpa nafasi nyingine Kepa ili Marina afanye undava wa kimya kimya kama aliofanya kwa Ziyech hasa kwa kipa na beki.Usajili wowote wa kipa mzuri utafuta deal la harvetz. Hapo nachoona Harvetz atatua na tutasajili LB.
Namuona CHILWELL akitua darajani. Sidhani kama tutamsajili CB jiandae kisaikolojia kuendelea kuwaona RUDGER, CHRISTENSEN & ZOUMA kwenye defensive msimu ujao
PILISIC..........WERNER.............ZIYECH
KOVACIC........KANTE............HARVETZ
CHILWELL...RUDGER....ZOUMA...AZIPU
..........................KEPA..............................