Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Pulisic ni pancha toka aje vitanda vya wagonjwa vinamjua ...
 
Kante na pulisic hawa jamaa kazi yao kucheza PlayStation kwenye wodi za wagonjwa ..kila siku wanaumia wao wanashindana na phili Jones
 
Usajili wowote wa kipa mzuri utafuta deal la harvetz. Hapo nachoona Harvetz atatua na tutasajili LB.

Namuona CHILWELL akitua darajani. Sidhani kama tutamsajili CB jiandae kisaikolojia kuendelea kuwaona RUDGER, CHRISTENSEN & ZOUMA kwenye defensive msimu ujao


PILISIC..........WERNER.............ZIYECH

KOVACIC........KANTE............HARVETZ

CHILWELL...RUDGER....ZOUMA...AZIPU


..........................KEPA..............................
We kiazi hata team ya mtaani hujawahi pewa ukocha unakuja jf unajifanya ww lampard ..chizi mmoja
 
Arsenal sio mid table team

Tumeshika nafas ya 8 toka miaka ya 1970s

Na nikutokana na hali iliyotokea timu ilifundishwa na makocha karibu watatu msimu mzima

Chelsea aliposhika nafas ya 10 alikuwa mid table team ?
Tulikuja kuprove sisi sio mid table team kwa kunyanyua ndoo ya EPL msimu uliofata....na nyie mtuprove basi
 
Sio tu Mount, kuna Odoi, Kuna Ziyech anacheza karibu position zote Havertz angekuja kucheza, Havertz ni mzuri ila optional, tuelekeze nguvu kwa mabeki na kipa
Mkuu kwa haraka haraka unaweza kusema atumihitaji havertz ila kiuhalisia tunamuhitaji havertz mount,RLC hawa wote sio wabunifu,
Usajili wa mabeki hatuwezi hangaika hiv kama usajili wa kai
Hizi ndio target zilizopo
Gimenez na Dunk na Rice
Chilwel,Tagliafico na Reguilone

Ukitoa Rice na Chilwel ndio ambao sajili zao zinaweza chukua mda hao wengine sidhan kama wanaweza chukua mda
 
Ila katika sajili zote asisajilkiwe Chilwell kwa bei hiyo kama anasajiliwa iwe chini ya 40Mil, hana anachomzidi Alonso
Yeah chilwel kiuhalisia thaman yake haifiki 50 ila tukienda kati ya chilwel na tagliafico
Nitaenda kwa chilwel stil anamiaka 23 wakati Tagliafico anaelekea kwenye miaka 28 na thaman yake ndio hiyo ya 30-40m so nimtu ambae anaweza kaa kwetu kwa misim almost 3 then baadae tena tuanze kutafuta LB mwingine

Chilwel thaman yake unaweza sema iko juu na haina uhalisia ila kama ni part ya project ni bora umchukue yeye ambae anaweza kaa kwa 7 season
 
Kwenye swala la kuuzwa kwa Harvetz na Chilwell bei hawatashusha hata sh. 100. Sisi ndio tuna shida lazima tulipe bei wanaotaka wao. Naona tukilipa hizo pesa.
Deal la Kai ndio litaamua target zinazofata ukiangalia upande wa chilwel zipo kabisa alternative tunazohusishwa nazo nitofauti na kwa kai
Kai ndio priority yetu msim huu katika usajili ni swala la mda tu based na taarifa za leo zilizotoka
 
Bayern walishasema kabisa msimu huu hawana muda na Kai ,ila akibaki tu asipouzwa , msimu ujao atabakiza mwaka mmoja watamchukua kwa bei ndogo kama kawaida yao ,
Jamaa hawatakagi kabisa I've kujigharamisha misha, wamechukua Leroy Sane kama wanasajiri Lingardinhobei ya kutupa
 
Arsenal sio mid table team

Tumeshika nafas ya 8 toka miaka ya 1970s

Na nikutokana na hali iliyotokea timu ilifundishwa na makocha karibu watatu msimu mzima

Chelsea aliposhika nafas ya 10 alikuwa mid table team ?
Usipasuke mapafu kwa kubishana na hizi takataka
 
Usajili wowote wa kipa mzuri utafuta deal la harvetz. Hapo nachoona Harvetz atatua na tutasajili LB.

Namuona CHILWELL akitua darajani. Sidhani kama tutamsajili CB jiandae kisaikolojia kuendelea kuwaona RUDGER, CHRISTENSEN & ZOUMA kwenye defensive msimu ujao


PILISIC..........WERNER.............ZIYECH

KOVACIC........KANTE............HARVETZ

CHILWELL...RUDGER....ZOUMA...AZIPU


..........................KEPA..............................
Tutapiga in and out
 
Tulikuja kuprove sisi sio mid table team kwa kunyanyua ndoo ya EPL msimu uliofata....na nyie mtuprove basi
Mlitumia 50 yrs kuprove kuwa nyinyi sio mid table team

Nyie watoto mnachekesha
 
Kwahuu usajili naamini utajinasua toka mid-table team......VP partey na coutinho wameshatua?
Coutinho baada ya kuwafunga Barca 2 na kutoa asists moja hawana mpango wa kumuuza tena, Koeman ana mpango nae
 
Havertz Updates
Chelsea wameshafikia dau la paundi 80m wao wanataka Paundi 90m
 
Nyie mnyamaze na mkomae na akina Luiz na Willian. Wanaume wanapoenda shopping inabidi nyie mgeuke kuwa watazamaji tu
Hili dirisha mwaka huu ni la Chjelsea tu, Buldoza wa nguvu, wengine wameadhiriwa na Corona, hakuna cha Real Madrid, Barcelona, naona Manure kidogo ndio wanaokohoa ila kwa Jadon Sancho wamekwama
PSG defender Thiago Silva offered to Chelsea on free transfer @mcgrathmike PSG defender Thiago Silva offered to Chelsea on free transfer

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom