Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sasa Chelsea mnalalamika utadhani mlifanya maajabu [emoji3][emoji3]
Foward wa dunia Auba anatupia tu anavyojiskia, Auba level za Lewandowski sio km utopolo wa Marioo Abraham na Giroud

#Coyg[emoji837]
 
Ukiachana na Arsenal kuroga wachezaji wetu waumie lakini pia Refa akaweka mchango wake wa kuwabeba bila aibu.Huyu Refa Hana tofauti na marefa wa bongo land.
 
Nawakumbusha tu!

Mjiandae kurudiana na The Bavarians (Bayern Munchen)

Lewando na Müller kwa pamoja wameshatuma condolences zao kwa Chelshit kuelekea kwenye 2nd leg ndani ya ghetto la wahuni wa kijerumani, Allianz Arena.

Wamesema score body wanaifuta, hawaingii na aggregate scores. Wao wanaanza kuhesabu upyaaa!!![emoji28]
 
Ina maana hakuna wa Chelsea walioenda Emirate kubeba makombe, Labda Luiz atakuwa wa kwanza

Unabii wako umetimia! Ni kweli Luiz amekuwa wa kwanza kwa kulinyakua FA kutoka mikononi mwa Chelsea kiulaini kabisa
 
Tuliwambia mapema humu mkabisha, shida yenu unazi,Arteta level zake Klopp na Pep, lampard ni kocha wa Championship huyo.
Oneni vituko hivi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Siku zote nasema hakuna kazi ngumu kama kujitambulisha unashabikia Arse8.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom