Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nimeona ni mzuri long shot kweli hatukua nae wakupiga shoti hizo, ila hajui kupiga chenga nakufunga kwa kichwa, wapunguze bei atatufa sana nimwepesi sio kama Tammy
Dribling skills kama za CR7 ni mzuri kwa vichwa hujaona tu anavyofunga
 
Mi namuona Kai Havertz kama Mesut Ozil tu. Dogo ni fundi hasa kwenye attacking football. Anatufaa mno
 
uwepo wa Cabalero tu golini tayari lacca ana goli lake na Auba ana goli, mechi inaanza 2-0[emoji16][emoji16]

#Coyg[emoji837]
 
We tulia mbona unawashwa washwa muda ni mwalimu mzuri leo lazima mchezee za kutosha kombe la blues
 
Kuna watu wanaobeza skills na uwezo wa Kai Havertz, njia rahisi kwako nenda youtube angalia video na comments za watu. Mashabiki wengi hawawezi kuwa waongo hata kidogo. Ukute katika 100 99 wanamsifia wewe nani ambaye hata hujamuona akicheza
Afu kuna takataka nyingine inakuambia Werner ataflop kama morata..... yaan aflop kwenye ligi hii hii ambayo mzembe martial anafunga afu yeye aje kushindwa kweli
 
Pulisic--------------Giroud --------------Mount

Alonso-------------- Movacic--------------Jorginho--------------James

Rudiger--------------Zouma--------------Azpilicueta


Caballero

  • Willian hayuko hata bench bado majeruhi
 
Haha kila mchezaji aliyetokaga arsenal akaja Chelsea alibeba makombe ..tuanze na

Ashley Cole..hahaha
Akaja Fabregas..hahaha
Benayoun...hahaha
Giroud...hahaha

Halafu kitu amjajua Giroud ananyota ya makombe na fainal sana..

Lacazzete ataendelea kuburuzwa timu ya taifa labda Oliver astaafu ndo ataweza kuitwa ata akakae benchi..

Kiufupi hii Arsenal huwa inatupa wachezaji ambao huja kuleta na kubeba makombe...


Hahaha #CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Ina maana hakuna wa Chelsea walioenda Emirate kubeba makombe, Labda Luiz atakuwa wa kwanza
 
Hicho ni kikosi cha leo. Ila nataka kuwaonyesha huyo dogo aliye like hiyo picha. Armando Broja ni moja kati ya product zetu matata sana anacheza striker. Nendeni youtube mkamcheki.
Screenshot_20200801-184732.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom