Niko tangu enzi za kina Fransisco Zola lakini si utopolo wa sasa hivi wa Chelsea tofauti na kujikalia home au mtaani na kusikilizia matokeo tu maana bado haijafikia kiwango bora kwa jinsi inavyotakiwa timu ya ushindani.Kwa style ya namna hii ni ngumu kuwa mshabiki wa hizi timu, labda uwe unahama hama.
Nenda ukajadili kwenye uzi wakoChelshit mfunge kauzi kenu haka mana msimu wenu ndio umeshakwisha.
Sasa mtajadili nini humu!?
Hakuna mchezaji anayeitwa Fransisco Zola, nyie mnasikiliza sana stori za vijiweni na haka katimu kenu.Niko tangu enzi za kina Fransisco Zola lakini si utopolo wa sasa hivi wa Chelsea tofauti na kujikalia home au mtaani na kusikilizia matokeo tu maana bado haijafikia kiwango bora kwa jinsi inavyotakiwa timu ya ushindani.
Taylor is man of the match.View attachment 1524314
Mkuu kuna siku game huwa inakataa ndio leo ilivyotutokea + injury tulizopata huwa zinachange game plan ya teamSijawahi kuona wachezaji vilaza kama wachezaji wa chelshit. Mpira walioupiga mwingi nusu fainali na sisi Man Utd, na ukiangalia leo walivyolambishwa mchanga, mpaka wanaishia kucheza rafu za kijinga. Halafu wakiguswa hao chelshit wenyewe wanajiangusha kama wapiga nyeto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Gian Franko Zola, haya ropoka tena we Haji Manara wa Arse8.Hakuna mchezaji anayeitwa Fransisco Zola, nyie mnasikiliza sana stori za vijiweni na haka katimu kenu.
GIANFRANCO ZOLA.
eboh
Umesahau ya Jorginho Emirates?????Taylor is man of the match.View attachment 1524314
Gian Franko Zola, haya ropoka tena we Haji Manara wa Arse8.