Narudia kusema uwe mshabiki wa Ars8 au wa timu nyingine na unashabikia ushindi wa jana wa Arse8 huo ni upumbavu kwa sababu uchavu alioufanya jana Antony Taylor ni uhalifu wa kimataifa kwenye mpira au kwa jina lingine ni Ugaidi kwenye mpira
katika faulu kama 10 Chelsea alizofanya kama nusu hivi ni uonevu mtupu. Katika yellow card 6 Chelsea alizopewa kama 2 tu zilikuwa fair zingine uonevu ikiwemo yellow ya pili ya Kovacic, Mount na Azpilicueta including uamuzi wa penalti ni wa kupewa sadaka ya Iddi. Foolish refering in EPL